Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #2,101
"Hakuna uthibitisho wa nafasi ...................."Duuh asee kilio cha wengi. Utumishi wanaregulate movement za watumishi itakua wanadhibiti watu kuhama hama.
Comments zao za rejection wameambiwaje reason ni ipi?
NDIO.Kwamba destination organisation wali-accept kwa kukubali na bado wakakosa?au sijakupata!
UTUMISHIWamekataliwa na Destination au UTUMISHI?
"Hakuna uthibitisho wa nafasi ...................."Sababu ipi waliyojibiwa kutoka utumishi?
Mimi siku zote nawaambieni anzeni kwa ground, mifumo imewekwa kuendana na teknolojia na kuondoa urasimu lakini binadamu ni walewale.Halmashauri yetu woteee ni REJECTED. Kuanzia walianza Vacancy Request mpaka kwa waliopiga Transfer Direct woteeee REJECTED.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ground hapo una maanisha Nini mkuu..?
Mimi siku zote nawaambieni anzeni kwa ground, mifumo imewekwa kuendana na teknolojia na kuondoa urasimu lakini binadamu ni walewale.
Unaweka mipango physically unakohamia na kuhakikisha pia unakotoka hakuna kwere.Ground hapo una maanisha Nini mkuu..?
💯💯Anachosema kiongozi ukipitia hii thread tumesema kwa sisi tulifanikisha kutoka LGA tukaenda taasisi, maliza mechi nje ya uwanja kwanza. Hakikisha kwanzia unakotoka unatengeneza connection poa, destination ya taasisi umeweka poa na uhakika 100% alafu utumishi una mtu kabisa kwenye approval ndio barua itoke, bila hivyo basi ni kuendeleza maombi madhabahuni. Amini nasema haya nishashuhudia kabisa
Kuna sisi HATUNA WATU.Anachosema kiongozi ukipitia hii thread tumesema kwa sisi tulifanikisha kutoka LGA tukaenda taasisi, maliza mechi nje ya uwanja kwanza. Hakikisha kwanzia unakotoka unatengeneza connection poa, destination ya taasisi umeweka poa na uhakika 100% alafu utumishi una mtu kabisa kwenye approval ndio barua itoke, bila hivyo basi ni kuendeleza maombi madhabahuni. Amini nasema haya nishashuhudia kabisa
Mambo kama ni Hivi basi magumu mnooAnachosema kiongozi ukipitia hii thread tumesema kwa sisi tulifanikisha kutoka LGA tukaenda taasisi, maliza mechi nje ya uwanja kwanza. Hakikisha kwanzia unakotoka unatengeneza connection poa, destination ya taasisi umeweka poa na uhakika 100% alafu utumishi una mtu kabisa kwenye approval ndio barua itoke, bila hivyo basi ni kuendeleza maombi madhabahuni. Amini nasema haya nishashuhudia kabisa
Anachosema kiongozi ukipitia hii thread tumesema kwa sisi tulifanikisha kutoka LGA tukaenda taasisi, maliza mechi nje ya uwanja kwanza. Hakikisha kwanzia unakotoka unatengeneza connection poa, destination ya taasisi umeweka poa na uhakika 100% alafu utumishi una mtu kabisa kweny
Hivi inawezekanaje umepewa destination nafasi then utumishi wanakuambia hakuna uthibitisho wa nafasi? Huu ni uhuni wakati mfumo n mmoja."Hakuna uthibitisho wa nafasi ...................."
Halafu kuna raia wameattach mpaka barua za huko wanakoenda.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Duuh hii sasa kasheshe"Hakuna uthibitisho wa nafasi ...................."
Halafu kuna raia wameattach mpaka barua za huko wanakoenda.
#YNWA
#YANGA_BINGWA