HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mfumo hufanya kazi hivyo kwa baadhi ya kada. Kwa mfano, Taasisi A inapokuwa na uhitaji wa Tutorial Assistant (TA) au Mwalimu wa Fizikia mwenye kiwango cha elimu ya Shahada, mfumo unaweza kumruhusu mtu yeyote kuomba nafasi hiyo bila kujali kama ana Diploma ya Arts, Shahada ya Arts au hata GPA iliyo chini ya 3.5 kwa nafasi ya TA.

Hivyo, kukubaliwa kwa maombi na mfumo hakumaanishi moja kwa moja kwamba mwombaji anakidhi vigezo vya nafasi husika. Ni jukumu la Taasisi Lengwa (Destination Institution) kupitia maombi, kuchambua sifa za waombaji na kuthibitisha kama wanaendana na mahitaji ya nafasi waliyoitangaza. Kwa maana hiyo, uamuzi wa mwisho unapaswa kuzingatia sifa na vigezo vya mwombaji, siyo tu kukubaliwa kwa maombi na mfumo.
Facts
 
Ndio maana yake, coz sio HR wala DG/CEO wameangalia CV yako na kuona sifa zako. Ndio maana Huwa ukituma Vacancy, CV lazima uwekeili Mwajiri mpya akaone sifa zako na kujiridhisha kuwa unafiti kwenye Taasisi hiyo na cheo hivyo.

Kwa kweli AUTO sio kitu Cha kukiaacha ni issue ya ku-withdraw mapema kuliko kupoteza muda
Ili ipite auto HR lazima kwanza a-accept ndo iende kwa accounting officer
 
Mfumo hufanya kazi hivyo kwa baadhi ya kada. Kwa mfano, Taasisi A inapokuwa na uhitaji wa Tutorial Assistant (TA) au Mwalimu wa Fizikia mwenye kiwango cha elimu ya Shahada, mfumo unaweza kumruhusu mtu yeyote kuomba nafasi hiyo bila kujali kama ana Diploma ya Arts, Shahada ya Arts au hata GPA iliyo chini ya 3.5 kwa nafasi ya TA.

Hivyo, kukubaliwa kwa maombi na mfumo hakumaanishi moja kwa moja kwamba mwombaji anakidhi vigezo vya nafasi husika. Ni jukumu la Taasisi Lengwa (Destination Institution) kupitia maombi, kuchambua sifa za waombaji na kuthibitisha kama wanaendana na mahitaji ya nafasi waliyoitangaza. Kwa maana hiyo, uamuzi wa mwisho unapaswa kuzingatia sifa na vigezo vya mwombaji, siyo tu kukubaliwa kwa maombi na mfumo.
Kuna kitu nimewaza hapa mfano mtu anaomba kwenda kuwa lecturer nafasi imetangazwa GPA 3.8 ya undergraduate.
Lakin tunapoomba vacancy inaenda CV tu na sio vyeti wala transcripts, ikitokea ameomba mtu ambae hana sifa hio lakin akapata nafasi kwa kigezo cha CV tu na utumishi wakamgrant transfer nini kitatokea?
Mi nafikiri kwenye nafasi za hivi mtu mwenyewe huwa anajichuja.
 
Umeandika kitu kizuri,
Jambo lingine linaloleta mkanganyiko ni nafasi za Engineer, ukirefer ule mkeka wa nafasi za kuhamia utakuta taasisi inataka Engineer au Technician lakini utumishi hawaja-specify ni engineer au Technician wa Nini.. kama ni maji, umeme, ujenzi, kilimo au wa Mapenzi 😁
Ndio maana wengi tunakula rejected
 
Sasa mtu unaomba tuturial Assistant, una gpa ya 3.5 and obove kama Taasisi husika inavyotaka au unaomba tu?
Utumishi Ndo gate kuu hupiti hata kama mfumo umekukubalia wao kule wanapitia vigezo vyote vya kisheria na kitaaluma manual kila mtu wanampitia.
 
Mwajiri wako anataarifa zako kwamba unahama? Kama hana nenda mwambie na mshirikishe, anakupitishia kama sio mwenye shida. Ila ndani ya siku 10 asipo itoa itaondoka automatically approved kwenda kwenye taasisi unayohamia..
Ombi linaanza kwa HR halafu ndio kwa Boss.
Kwa HR lazima lipitishwe, hapo litakaa hata miaka 10 bila kupitishwa haliendi ila kwa Boss (Mkurugenzi) ndio automatic siku 14.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwanzia jana usiku kipnegele cha Transfer kwenye ess kiko busy naona Utumishi wanapakia vibali/ barua za uhamisho hivyo uwe mpole muda wowote utaingia tena utaona, hutakiwi ukiingia usione ombi lako, lazima uone liko level gani limefika.
Mbona huku REJECTED nyingi?
Vibali gani vinavyopakiliwa humo??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Me na ushuhuda ambao ni positive kabisa, kama nivosema apo juu watu kabla hawajaomba vacancy wanatakiwa mechi wawe wamemaliza kuanzia anakotoka hadi anakopokelewaa, zile comment za walee DGs ni very important kwenye ku escalade transfer yako utumishi.

Unatuma transfer mkurugenzi wako hajui, ana accept ana comment utovu wa nidhamu au utoro kwakua kakubamisha kituo unataka kuhama, haya destination point ana accept anasema bajeti haiko labda kwa miaka ijayo. Utumishi ikifika kwao wao wana reject tuu bila shida
Haipo.
Mkurugenzi wetu ni muislamu safiii
Kila anaetaka kuham anamshirikisha ila Woteee wamekula REJECTED.

Na wengine wameweka mpaka barua za huko wanakotaka kwenda kwamba wamemkubalia aende ila REJECTED.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Vacancy imepita outo baada ya siku 10 za kule utumishi, naomba ushauri nisubmit iende utumishi au ni withdraw nianze upya?
Mi Vacancy Request yangu kesho ndio siku ya 10 🙁🙁🙁☹️☹️☹️

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Washakaji wangu wawili wote wamekula REJECTED za TANTRADE...!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mfumo ulitakiwa ukatae endapo mtu au
Wale ninaowajua woteee ambao walianza na Vacancy Request na Hizo Request zikawa "Automatic Accepted" woteee wamekosa nafasii.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nikiwemo na Mimi maana sijui nafasi niliyo omba ilihitaji Engineer wa nini
 
Kwa mfano taasisi ikifingua dirisha la mwalimu daraja iic basi mwalimu yoyote tu akiomba inakubali awe grade A,B au F so mfumo una gaps
 
Haipo.
Mkurugenzi wetu ni muislamu safiii
Kila anaetaka kuham anamshirikisha ila Woteee wamekula REJECTED.

Na wengine wameweka mpaka barua za huko wanakotaka kwenda kwamba wamemkubalia aende ila REJECTED.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Noma sana
 
Back
Top Bottom