Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
- #2,081
Na kataaa "... mtumba ni kwa kujuana"
Jamaa anaweza kutoka huko mapema kabla yako na barua yake ikaanza na “ Kutokana na umuhimu wa kazi na kwa mamlaka niliyonayo chini ya Kifungu cha…”
Utabaki unashangaa hapo. Be humble mshua, mtumba ni kwa watumishi wote.
Haiwezekani Halmashauri yetu watu woteeee wamekula REJECTED woteeee na DED alipitisha alimpa authority mtu apitishe kiroho safii.
#YNWA
#YANGA_BINGWA