HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwanzia jana usiku kipnegele cha Transfer kwenye ess kiko busy naona Utumishi wanapakia vibali/ barua za uhamisho hivyo uwe mpole muda wowote utaingia tena utaona, hutakiwi ukiingia usione ombi lako, lazima uone liko level gani limefika.
Mfumo uko Hewani ila Hamna vibali hapo labda jioni ya Leo wataendelea kutoa REJECTED
 
Ni kweli mkuu, ondoa dhana za kukataliwa akilini. Fikiria majibu positive na inakua hivyo, ukijinenea mema ni bora zaidi kuliko mabaya.

Kuna mtu aliongea point hapo nyuma wengi wanaanzisha transfer bila kucheza ground kwanza na kumaliza ndipo uingie kwenye mfumo. Mwisho wa siku wanakutana na reject
 
Sawa mkuu, ila kwa shuhuda za hapa Toka Mwezi September watu wengi wanakula za uso tu. Wengine wanashangaa hata sababu za rejected hawazijui
 
Me na ushuhuda ambao ni positive kabisa, kama nivosema apo juu watu kabla hawajaomba vacancy wanatakiwa mechi wawe wamemaliza kuanzia anakotoka hadi anakopokelewaa, zile comment za walee DGs ni very important kwenye ku escalade transfer yako utumishi.

Unatuma transfer mkurugenzi wako hajui, ana accept ana comment utovu wa nidhamu au utoro kwakua kakubamisha kituo unataka kuhama, haya destination point ana accept anasema bajeti haiko labda kwa miaka ijayo. Utumishi ikifika kwao wao wana reject tuu bila shida
 
Haya hebu tuone,
Wewe yako Iko UTUMISHI..?
 
Ila uzuri wa Destination kama hawakuyaki SI wanasema
 
Me na ushuhuda ambao ni positive kabisa, kama nivosema apo juu watu kabla hawajaomba vacancy wanatakiwa mechi wawe wamemaliza kuanzia anakotoka hadi anakopokelewaa, zile comment za walee DGs ni very important kwenye ku escalade transfer yako utumishi.

Unatuma transfer mkurugenzi wako hajui, ana accept ana comment utovu wa nidhamu au utoro kwakua kakubamisha kituo unataka kuhama, haya destination point ana accept anasema bajeti haiko labda kwa miaka ijayo. Utumishi ikifika kwao wao wana reject tuu bila shida
We jamaa unaongea sana. Watu humu wana akili na wanajua wanachofanya kitu pekee hawana ni connection.

Sasa nani anaweza kuendelea na transfer request kama destination hawana budget au wamecomment negative.
 
Kama ulishawahi kuona hizo comment negative ni sawa mkuu, au kama kuna ambae alishafanya transfer akaona kilochoandikwa na DG kwenda anakoenda nisawa sio kwa ubaya chief
 
Mwajiri wako anataarifa zako kwamba unahama? Kama hana nenda mwambie na mshirikishe, anakupitishia kama sio mwenye shida. Ila ndani ya siku 10 asipo itoa itaondoka automatically approved kwenda kwenye taasisi unayohamia..
Kwenye vacancy request ukianza tu haitoka had mkuu wako apitishe ,na ikifika organization unayooenda inakaa had Hr apitishe afu ikitokea mkuu wa taassi hajapitisha ndio itakuw aauto accepted ndan ya ten days,ila kama hr asipopitsha katika ile tassi itakaa sana haisogei kabisa hata mieze miwili
 
Niliomba tarehe 22/10/2026 vacancy transfer ikawa ipo kwa mwajiri wangu. Leo nimeingia siioni. Maana yake kashaipitisha na imeenda kwenye taasisi nyingine? Nitajuaje kama alikubali au kakataa? coz kwangu haipo tena
Kama kapitisha itaonesha ipo kwneye hio instituition unayotaka amia.
 
Ataona kitu kama hicho, na hapa ndio kwenye point muhimu, ukiona utumishi wame reject ni kwasbabu ya comment za hapa
 
Attachments

  • IMG_3051.jpeg
    IMG_3051.jpeg
    55 KB · Views: 5
Itaonekana tuu, attachment zozote za picha naona sheria za JF hadi waverify maudhui yake kama ya elimu au lah ndipo waruhusu!
Hiyo mbona inaonesha dhahiri kuwa muhusika ndiyo umeicrop hiyo picha sio vizuri kuwapa mzigo usiowahusu JF
 
Kama ulishawahi kuona hizo comment negative ni sawa mkuu, au kama kuna ambae alishafanya transfer akaona kilochoandikwa na DG kwenda anakoenda nisawa sio kwa ubaya chief
Uko sahihi mkuu mimi nilibahatika kupa nafas sehemu mbili tofaut ndan ya miaka tofauti ila nilipoandika barua mkurugenz wangu alicomment tuna upungufu wa staff haswa kwenye kada yangu, na kipind hicho ni mambo ya hard copy, je kama ingekuwa kwenye mfumo ningeishia kuwalaumi utumishi kumbe wao wako fair sana hawajah mkatalia mtu kama ametimiza vigezo na comment zote ziko poa.... so paka leo sijabahatika kuhama
 
Pole sana kiongozi. Jaribu tena kwa mfumo saivi wenda bahati ikawa yako sasa
 
Back
Top Bottom