HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Normal transfer.. Nilipata barua ya nafasi wazi nikaweza kwenye mfumo na vielelezo vyote.. Ila ndiyo hivyo.Naachana nayo. Kama kupambana nilipambana sana.
Pole sana mkuu, naelewa siku zote tuko hapa na ulikuwa unatuambia jinsi lilivyochukuwa muda mrefu bila kujibiwa.

Umejibiwa tarehe ngapi..?
Msafa
 
Kama ukiingia ESS siku chache kidogo nyuma, utakuwa ulijibiwa tar 20 J4, coz Ile siku E-Transfer ilirudi jiioni watu wengi walikutana na hizo REJECTED na sababu ni hiyo kama yako. Kuna Mdau hapa aliwahi kutoa ushuhuda ErrorTyping
Nauliza tu kwani huo mfumo ni automatic?
Ninaamini Hata Ma admin wake wapo huku.

Maybe wanaweza kuwa contacted na kuelezea what is happening.

Naona kama watu wengi wanabet
 
Nauliza tu kwani huo mfumo ni automatic?
Ninaamini Hata Ma admin wake wapo huku.

Maybe wanaweza kuwa contacted na kuelezea what is happening.

Naona kama watu wengi wanabet
Naona wana namba zao zile huduma kwa Wateja ukiwa na changamoto au maulizo kama hayo ruhsa kupiga na wana-respond
 
Nakubaliana na wewe. Na mimi baada ya miezi 8 ya kusubiri nimekula Rejected. Hakuna uthibitisho wa nafasi wazi. Japo nilipambana sana. Nafasi nilipewa. Kule nilipotaka kuhamia wanashangaa.
Ulianza na Vacancy au ulipiga Direct Transfer bila kupitia Vacancy??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Normal transfer.. Nilipata barua ya nafasi wazi nikaweza kwenye mfumo na vielelezo vyote.. Ila ndiyo hivyo.Naachana nayo. Kama kupambana nilipambana sana.
Usikate tamaa kama mpaka barua unayo basi anza tena na "Vacancy Request" halafu ukifika kwenye Transfer basi attach hiyo barua.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Habari za wakati huu, ndugu zangu.

Naomba ufafanuzi kuhusu mfumo wa Utumishi. Je, nafasi zilizotangazwa zikishajaa, mfumo huzuia waombaji wengine kwa kuonyesha ujumbe wa “Vacancy Filled”, au kuna utaratibu mwingine unaotumika kudhibiti maombi?

Nitashukuru kupata ufafanuzi kutoka kwa mwenye uelewa kuhusu jambo hili. Asanteni.
Kama nafasi zilitangazwa na zimejaa (ukirejea ile PDF ya nafasi za uhamisho) inatoa majibu ya ..
1. Vacancy in destination is already filled
2. Designation not found on Destination Organization.

Asante sana kwa jibu hili kaka.

Kwa maana hiyo sasa kama ulipita hatua hiyo uhakika wa kupata ni mkubwa kwa kuwa mpo idadi inayotakiwa endapo hutakuwa na changamoto nyingine?
 
Back
Top Bottom