HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vacancy imepita outo baada ya siku 10 za kule utumishi, naomba ushauri nisubmit iende utumishi au ni withdraw nianze upya?
Endelea Kamanda hiyo itajuana mbele kwa mbele.
Tuma screenshot tuone maana Kuna watu humu walisema auto imeondolewa
 
Attachments

  • IMG_20261028_131534.jpg
    IMG_20261028_131534.jpg
    143.5 KB · Views: 3
Hapo endelea kaka, Watajuana wenyewe
Usiache kizembe hiyo Taasisi ina maokoto
Sexer
 
Endelea Kamanda hiyo itajuana mbele kwa mbele.
Tuma screenshot tuone maana Kuna watu humu walisema auto imeondolewa
Nimeendelea, kwa sasa status inasoma Supervisor, ni supervisor wa taasisi niliyopo?
 
nakushauri ondoa ombi kaka auto accept ni janga tu
Acha mzigo utembee wapo waliopitishiwa kwa comments kutoka kwa destination na bado wakapata reject. Kimsingi ombi lako tu kufika utumishi ni mafanikio watu kibao wanaishia huku hatua za awali za vacancy not budgeted, Vacancy filled na vikwazo kibao. Ko acha mzigo mzigo ufike utumishi iyo auto haipo hapo kwa bahati mbaya.
 
Nakubali
 
Endelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.

Sema hio reason ya to pursue new challenge mimi binafsi sasa hivi naiona ni nyepesi sana.. baada ya utumishi kunilamba rejected pamoja na kuweka magamba mazito mazito😃, sasa hivi nawe medical condition afu ni kufoji tu documents.

Unaweka report ya daktar mpaka wenyewe wakiona wanasema huyu atakufa week ijayo hebu tumuache aende akatibiwe 😄

Medical condition nahisi hata negative comments za wakurugenzi zinakosa nguvu.
 
Unaweka medical reason wanakuhamishia wizarani mtumba ili ukae karibu na Benjamin Mkapa Hospital wakati wewe uliomba OSHA HQ pale mjini 😆​
 
Endelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.

Sema hio reason ya to pursue new challenge mimi binafsi sasa hivi naiona ni nyepesi sana.. baada ya utumishi kunilamba rejected pamoja na kuweka magamba mazito mazito😃, sasa hivi nawe medical condition afu ni kufoji tu documents.

Unaweka report ya daktar mpaka wenyewe wakiona wanasema huyu atakufa week ijayo hebu tumuache aende akatibiwe 😄

Medical condition nahisi hata negative comments za wakurugenzi zinakosa nguvu.

Haha hii reason ukiangalia sometimes ni nyepesi lakin pia inauzito wake, kuhama toka LGA kwenda taasisi pia ni kutafuta challange mpya, ishu inakua rejected kama huna mtu AU connection yoyote utumishi waku approve na kusubiri barua.

Kuna jamaa namjua na hadi leo aligoma toa connection utumishi baada ya transfer yake kufika utumishi alipiga simu tuu haikupita siku 7 akawa kamaliza jambo lake
 
Endelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.

Sema hio reason ya to pursue new challenge mimi binafsi sasa hivi naiona ni nyepesi sana.. baada ya utumishi kunilamba rejected pamoja na kuweka magamba mazito mazito😃, sasa hivi nawe medical condition afu ni kufoji tu documents.

Unaweka report ya daktar mpaka wenyewe wakiona wanasema huyu atakufa week ijayo hebu tumuache aende akatibiwe 😄

Medical condition nahisi hata negative comments za wakurugenzi zinakosa nguvu.
Haya mambo ndugu hayana formula,zaidi ni kumuomba Mungu na nafsi yako ibebe imani na kuamini jambo linawezekana. Kila kitu kipo hapo wao walioweka wanajua uzito wa sababu husika. Mimi niliweka hiyo reason ya kutafuta changamoto mpya na walinipa kibali.
 
Back
Top Bottom