Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,772
- 7,372
Mkuu, mbona kama ulipata kibali tarehe kama hizi.. Je wenye maombi UTUMISHI wategemee hizi TAREHE..?Haya mambo ndugu hayana formula,zaidi ni kumuomba Mungu na nafsi yako ibebe imani na kuamini jambo linawezekana. Kila kitu kipo hapo wao walioweka wanajua uzito wa sababu husika. Mimi niliweka hiyo reason ya kutafuta changamoto mpya na walinipa kibali.