Umemaliza kila kitu mkuu. Mwaka jana mwezi wa saba nimehama kwa huu utaratibu. Nilienda utumishi wakaniambia nisubiri ombi langu linafanyiwa kazi, baada ya mwezi na nusu lilijibiwa na status ya APPROVED na barua ya uhamisho iliwekwa kwenye mfumo wa ESS.Vacancy kwa ninavyoelewa kama sehemu unayoenda hujui kama nafasi ipo ndio unatuma kwanza hiyo wakikubali unafanya transfer
Transfer uliyofanya kwa upande wangu uko sahihi kabisa kwasababu nafasi ilikuwepo kwahiyo kinachosubiriwa wenyewe wataangalia cv ya nani itawatosha watamjibu au kama ulikuwa kuna mtu tayari anakupambania kule unapohamia ni rahisi
Dodoma hakuna haja ya kwenda kila kitu ni mfumo utapoteza nauli ukienda dodoma , kwa supervisor inakaa siku 4 , mwajiri siku tatu, mkurugenzi siku saba wote wasipojibu kwa wakati automatic inaenda hatua nyingine , utumishi siku 21 hapa ndio kuna ugumu huwezi mforce katibu apitishe ndani ya huo muda ila siku 21 zikipita unaweza ulizia mchakato wako umefikia wapi kupitia call centre yao
Ulihama bila kuanza na "Vacancy Request", kwamba ulienda " Normal Transfer" moja kwa moja na ukapata barua??Umemaliza kila kitu mkuu. Mwaka jana mwezi wa saba nimehama kwa huu utaratibu. Nilienda utumishi wakaniambia nisubiri ombi langu linafanyiwa kazi, baada ya mwezi na nusu lilijibiwa na status ya APPROVED na barua ya uhamisho iliwekwa kwenye mfumo wa ESS.
Sijui niseme nini
Ila Mwajiri wako ku approve haimaanishi kukubali. Je kaweka comments zipi
Usikate kasema HUYU TUNAMSOMESHA KWA MASLAHI MAPANA YA HALMASHAURI. KWAIO MIAKA 3 YAKE KAMA TARATIBU ZA KUMSOMESHA MTUMISHI ZIZINGATIWE.
Though utumishi wanaweza TUPILIA MBALI SHAURI HILO
Vacancy kwa ninavyoelewa kama sehemu unayoenda hujui kama nafasi ipo ndio unatuma kwanza hiyo wakikubali unafanya transfer
Transfer uliyofanya kwa upande wangu uko sahihi kabisa kwasababu nafasi ilikuwepo kwahiyo kinachosubiriwa wenyewe wataangalia cv ya nani itawatosha watamjibu au kama ulikuwa kuna mtu tayari anakupambania kule unapohamia ni rahisi
Dodoma hakuna haja ya kwenda kila kitu ni mfumo utapoteza nauli ukienda dodoma , kwa supervisor inakaa siku 4 , mwajiri siku tatu, mkurugenzi siku saba wote wasipojibu kwa wakati automatic inaenda hatua nyingine , utumishi siku 21 hapa ndio kuna ugumu huwezi mforce katibu apitishe ndani ya huo muda ila siku 21 zikipita unaweza ulizia mchakato wako umefikia wapi kupitia call centre yao
Umetisha Kiongozi.Kuwa mpole wajuvi watakuja, sasahv wako gauge, wako maji, wako ke-roroo...
Hujamaliza urudi mkuu..!!???Nashukuru umeniamsha usingizini.
Ngoja kwanza nimalizie kibarua kwa shem wako hapa kisha nije nikushauri vizuuuri.
Taasisi fulani iliyopo chini ya Wizara ya Fedha.🤣🤣🤣 Hadi raha mkuu, nakuonea wivu kama ushapata kibali maana sio kwa Maokoto manene hayo. Ni chimbo gani hilo mkuu tuambizane basi😁
Hivi.. kuhama kwa njia ya zamani, kupeleka barua ambayo umepitishiwa na Boss wako.. hii njia bado inafanya kazi?Sikuanza na Vacancy Request nilianza na Normal Transfer moja kwa moja...
Ila nimejipanga, wakigoma kupitisha sababu ya sikuomba nafasi (vacancy) before, basi nitaanza upya.
Nilitaka ku-withdraw nianze upya kwa kuomba Vacancy, ila nikaambiwa niache hivyo hivyo kwasababu wapo walianza na Normal Transfer moja kwa moja bila kupitia Vacancy Request na walitoboa.
Yote kwa yote MUNGU ATATENDA KWA UKUBWA WAKE.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio.Hivi.. kuhama kwa njia ya zamani, kupeleka barua ambayo umepitishiwa na Boss wako.. hii njia bado inafanya kazi?
Safi.. hii naona ndio ya uhakika sana.Ndio.
Mwaka jana nilienda nikaambiwa inafanya kazi..
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Safi.. hii naona ndio ya uhakika sana.
Kwasasa naona kuna ugumu mambo ya hardcopy wanataka kupunguza/kuondoa kabisa barua utaona kwenye mfumo pale pale lengo ni kuondoa ule ukiritimba wa mtu kutokumsainia barua mtumishi kwa wakati ndio maana hata msimamizi au mkurugenz asiposaini katika muda uliowekwa inaondoka automatic kwenda hatua zingine , ila mfumo haukwepeki unayemtaka lazima utamwambia afanye transfer kwenye mfumo ili majukumu ya pepmis yaweze kuhama unapokwendaNdio.
Mwaka jana nilienda nikaambiwa inafanya kazi..
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwasasa naona kuna ugumu mambo ya hardcopy wanataka kupunguza/kuondoa kabisa barua utaona kwenye mfumo pale pale lengo ni kuondoa ule ukiritimba wa mtu kutokumsainia barua mtumishi kwa wakati ndio maana hata msimamizi au mkurugenz asiposaini katika muda uliowekwa inaondoka automatic kwenda hatua zingine , ila mfumo haukwepeki unayemtaka lazima utamwambia afanye transfer kwenye mfumo ili majukumu ya pepmis yaweze kuhama unapokwenda
UmetishaWatakujibu uombe kwenye mfumo unless sababu yako haiwezi kusubiri eg. medical reasons
hii imenikumbusha mbali sana, by those days nilitaka kwenda kusoma pia, sasa mkuu wa idara alikuwa mshikaji wangu kinoma.Sijui niseme nini
Ila Mwajiri wako ku approve haimaanishi kukubali. Je kaweka comments zipi
Usikate kasema HUYU TUNAMSOMESHA KWA MASLAHI MAPANA YA HALMASHAURI. KWAIO MIAKA 3 YAKE KAMA TARATIBU ZA KUMSOMESHA MTUMISHI ZIZINGATIWE.
Though utumishi wanaweza TUPILIA MBALI SHAURI HILO
mi nilienda masomoni wakanifukuza kwa utoro...Asante sanaa kiongozi kwa kuja kwenye uzi huu, na kunielewesha.
Ngoja mimi na jamaa angu tuzidishe maombi ili tukubaliwe kuhamia taasisi zenye maokoto.
Mwaka huu nimeanzisha harakati za kuhama kali sanaa, naomba Mungu kwa rehema zake mwaka huu anitoe huku TAMISEMI/Local Government na anipeleke hukoo pazurii.
2012 until present tukiwa local government ni muda mrefu sanaa.
Mungu mkubwa.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Maombi yako utumishi yalikaa kwa muda gani?Umemaliza kila kitu mkuu. Mwaka jana mwezi wa saba nimehama kwa huu utaratibu. Nilienda utumishi wakaniambia nisubiri ombi langu linafanyiwa kazi, baada ya mwezi na nusu lilijibiwa na status ya APPROVED na barua ya uhamisho iliwekwa kwenye mfumo wa ESS.