Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Pouteria campechiana(egg fruit) kama walivyokwisha kusema wadau hapo juu.View attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.
Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
Kwa kimombo moja ya jina lake ni EGG FRUITJina lake mkuu linaitwaje?
Kula zeituni kuna sifa gani wewe kiazi ? Au nikutumie picha nipo galilaya?Wewe mgerasi tulia acha kutafuta sifa
Galilaya ndo kwenu wewe myebusi?Kula zeituni kuna sifa gani wewe kiazi ? Au nikutumie picha nipo galilaya?
KWANI KUNA TUNDA AMBALO HALINA RANGI?Hahaha! Unajua nini, niliwahi kuambiwa matunda yenye rangi kali sana jiepushe nayo. Kwa mfano, katika hali ya kawaida bilinganya inatakiwa iwe na sumu, ndio maana sili! 😀 😀
Zaituni nadhani linatumika kwa aina mbili za matunda moja wapo ni ilo tunda ila zipo zaituni tofauti na ilo tunda pia ...kiswahili ni shidaNaona mkuu hili ndiyo jina lake.
Kuliita Zaituni ni kama wameliongezea sifuri kulipa thamani.
Kwani Medeterranean siyo middle east?Zaituni za Mashariki ya kati na Mediterranean unazijua? Tofauti kabisa na hii.
Ndiyo maana nikauliza
Wewe nyumbu wa falme ya kiyoabu ebu jitambue mtoto wa yezebeli jitambue ,mimi ni yehu mwana wa yehoyada.Galilaya ndo kwenu wewe myebusi?
lenyewe hiloSiyo zaituni hii.
Hii labda inaitwa Zainabu.
Wewe ni yehu au mwehu? Hebu nyosha maelezoWewe nyumbu wa falme ya kiyoabu ebu jitambue mtoto wa yezebeli ,jitambue mimi ni yehu mwana wa yehoyada.
Mimi ni zaidi ya yehu mwana wa yehoyada mfalme wa Israel.Wewe ni yehu au mwehu? Hebu nyosha maelezo
Nimekula kipindi nipo Tanga miaka ya 80 mwishoni, sijawahi kuliona tena hata kwa picha ndio naliona leoSio Zaitun hilo...! Zaitun ni Olive.
Tunda la katikati
Wanayauza wapi dar nataka nikanunue nimekula hili tunda kama week 3 zilizo pita ila mtu nilimuagizia mbali ...hapa dar yana patikana kwa wingi wapiView attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.
Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?