Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

haaa!!!👿kumbe?
 
Wanayauza wapi dar nataka nikanunue nimekula hili tunda kama week 3 zilizo pita ila mtu nilimuagizia mbali ...hapa dar yana patiala kwa wingi wapi
Mimi haya nimeyakuta mtaani kwangu hapa kuna sehemu wanauza maana wana mti uko uwani.
Ila kama unahitaji kwa wingi unaweza kwenda Sokoni yanaweza kupatikana.
 
Mimi haya nimeyakuta mtaani kwangu hapa kuna sehemu wanauza maana wana mti uko uwani.
Ila kama unahitaji kwa wingi unaweza kwenda Sokoni yanaweza kupatikana.
Yana bei sana wanaweza kukuuzia tunda moja sh 8000elfu hadi elf10 tunda moja
 
Yana bei sana wanaweza kukuuzia tunda moja sh 8000elfu hadi elf10 tunda moja
8,000 au 800? 🤣🤣🤣
Mimi nimenunua 200 kila moja. Shilngi mia mbili za Tanzania 🤣🤣
 
8,000 au 800? 🤣🤣🤣
Mimi nimenunua 200 kila moja. Shilngi mia mbili za Tanzania 🤣🤣
Tsh8000 hadi sh10000 ndiyo maana ayapatikani hovyo hayo matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…