Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Ulilolihoji hapa lina manufaa gani kwa Maendeleo ya Watanzania na Ustawi wake Kiujumla?
Ni kwamba watu wanatumia ile sitting plan kuhadaa umma. Hivyo jambo linapotolewa ufumbuzi hadaa zinakoma. Nimeona Mange na Kigogo wakishangilia hiyo sitting plan na hao wana wafuasi wengi huko mitandaoni. Nchi hii tumefikia hatua ya kushangilia jambo kama lile, ni aibu sana.
Sema sifa zina majaribu sana, lakini hawa wanaoshangilia walitakiwa watangazwe wanafki wa taifa.
 
Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Unazungumzia kukaa pembeni?!!,Uhuru Kenyata alikaribishwa Ikulu white house,akapiga mvinyo na Raisi wa Dunia,hii kukaa karibu na Raisi,May be amewekwa kama secretary,
Hiyo position ni ngumu,imagine Biden anakutambulisha usimame usalimie,harafu ngeli haikwei kama alivyokuwa Jiwe JPM!?unaweza ukazimia?
 
Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Majina ya nchi kwenye Umoja wa mataifa (UN) yanafuata mpangilio wa herufi toka A hadi Z.
Tamzania inatambulika kama United Republic of Tanzania inafiatiwa na United States of America
 
Majina ya nchi kwenye Umoja wa mataifa (UN) yanafuata mpangilio wa herufi toka A hadi Z.
Tamzania inatambulika kama United Republic of Tanzania inafiatiwa na United States of America
Vipi kuhusu UK
 
Back
Top Bottom