Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.

Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla

HJbfXr4W0AIZzgx.jpeg
IMG_20260529_074338.jpg
IMG_20260529_074212.jpg
HJcInzkXYAYdlhW.png
 
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa, so yes, nikipandisha bendera shambani kwangu kuienzi sera ya kilimo itakuwa sahihi tu.

Huu ni uzaRendo. Wengine wanatawazia bendera kabisa wanajipangusia mavi.

Bora huyo anawakilisha HAPA KAZI TU.

Naagiza wamuachilie mara moja.
 
Hivi nikishona kwa kuviunganisha vitambaa nikatengeneza bendera yenye muundo na inayoelekea kama ya Tanzania ila sio ya Tanzania,nikapandisha nyumbani kwangu,nitakamatwa kwa kupeperusha bendera au? kwani huyo aliyekamatwa aliwaambia hizo ni bendera za Tanzania?
 
Back
Top Bottom