Polisi wamesikia tunataka kuingiza na kuuza bendera za Tanganyika, wakaenda kumsumbua kijana wa watu...We like to major in minor things.
NakaziaItungwe shiria kuwe na malipo ya usumbufu,na kudhalilishwa fine ianzie milioni kumi na hii ikatwe kwenye mishahara ya hawa wakamataji,ndio upuuzi huu itakoma.
Kama zipi?Bendera ina sehemu zake za kupandishwa
Yaani mtu anauenzi utaifa mnachoma mafuta kumsaka!Tanganyika tunapitia kipindi kigumu sana
Bendera ina sehemu zake za kupandishwa
Si kosa kisheria. , US na UK mara nyingi kama nyumba ina mtu alie serve au ambae yupo kwenye majeshi huwa wanaweka nje namna hiyo. Kumaanisha ametumikia nchiJeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.
Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla
View attachment 3596813View attachment 3596816View attachment 3596814View attachment 3596812
wakifika mahakamani (hawapapendi sana) huwa wanakimbia kesiTusubiri apelekwe mahakamani, Polisi watakimbianq, maana hua wanakamata watu ndo wanatafuta makosa kwa mujibu wa sheria.
Kanga ya yanga siyo bendera ya yanga,jezi ya Chelsea siyo bendera ya Chelsea,uwe unatumia vizuri bichwa lako lililojaa mafuaMmojawapo ni shingo ya Mwigulu