Tanganyika tunapitia kipindi kigumu sanaJeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.
Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla
View attachment 3596813View attachment 3596816View attachment 3596814View attachment 3596812
Wameogopa bwana KASSIM asije jitangazia JAMUHURI 😁☺️Mambo ya kishamba kabisa
Haya
Ova
Labda kwa kuwa hii moja fundi cherehani aliikosea kuishonaJeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake.
Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi.
Pascal Mayalla
Ila hiyo sio bendera ya Tanganyika.Nadhani sababu itakuwa hizo zenye muundo wa Tanganyika
Bendera ina sehemu zake za kupandishwaMambo ya kishamba kabisa
Haya
Ova
Tupe kifungu kinachotoa hilo kosa la kupandisha bendera mwanasheria mkuu wa serikali.Bendera ina sehemu zake za kupandishwa
Itungwe shiria kuwe na malipo ya usumbufu,na kudhalilishwa fine ianzie milioni kumi na hii ikatwe kwenye mishahara ya hawa wakamataji,ndio upuuzi huu itakoma.Tanganyika tunapitia kipindi kigumu sana
Huyu bwana kasimu atakuwa na vinasaba vya chademaTanganyika tunapitia kipindi kigumu sana