Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

Ninachojua mimi, sheria zipo ila wengi hatuzijui. Ukitaka kujua sheria zipo jitoe akili kama huyo jamaa. Fanya kituko, hapo ndio utajua vifungu vipo.

Ova
 
Tusubiri apelekwe mahakamani, Polisi watakimbianq, maana hua wanakamata watu ndo wanatafuta makosa kwa mujibu wa sheria.
 
Si kosa kisheria. , US na UK mara nyingi kama nyumba ina mtu alie serve au ambae yupo kwenye majeshi huwa wanaweka nje namna hiyo. Kumaanisha ametumikia nchi


But as usual vyombo vyetu vinakurupuka kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…