Nobel prize imekuwa ikuhusishwa na ubaguzi wa hali ya juu.
Kuna mnaijeria aliwahi tajwa akagombee ila akafanyiwa figisu.
Ana theory yake ina connect all fundamental forces.
Wazungu wameshindwa ku i prove wrong but wamembania kwa sababu is one of big theory itakayomfanya Eistein awe cha mtoto.
Nishakuambia watu weusi tulikua hatuna fursa katika miaka ya karibuni. Ila utawaona muda sio mrefuHaya, hebu niambie Mwanasayansi Muafrika mweusi aliyepata Zawadi ya Nobel katika Physics, Maths, Medicine, katika upande wa sayansi.
Jiulize kwanini hayupo??--- kungalikuwepo na zawadi za Nobel kwenye Sports ungewapata akina pele, Mohamed Ally, Gaucho, Michael jordan, Kobe Bryant, Magic johnson, Usain Bolts, Mayweather, Bekele, Kepchoge Keino, Kamaru othman, Michael page nk.
Yap unawaza sahihi kabisa. Hawa jamaa wanachafua uzi na mambo ya uchawi sijui ungo nk.Unawashinda sanaa na michezo wazungu ? Labda ngoma.
Argument zako ni assumption or fact ?
Kama fact hizo trait difference zilianza lini? Kwa mfano maana hizo gunduzi zimeanza miaka 500 tu iliopita lakini dunia ina maelfu ya miaka nahizo gunduzi wala mzungu hakuwa nazo,je hixo trait zimeibika from no where?
Jibu ni kwamba hapa kwetu smart people hawajawahi kuwepo au kuwa huru kwenye mifumo ya kuleta mapinduzi nchini Tanzania.
Siku tukiacha mifumo ifanye kazi kama western people au eastern bila kuwa na tuvikundi kama twa ccm,chadema sijui cuf tutapata watu sahihi wa kuleta mapinduzi tunayoyaota.
Tunaowapigia makofi hamna kitu wapo left and right kwenye normal distributed group(normal curve).
Wachina wana chujio la hatari kupata viongozi .
Wachina wanajua nani atawaongoza baada ya Zi jin pin sisi Magu, Samia wote wamepatikana kwa bahati mbaya.
Tunatakiwa tufanye uamsho kama walivyofanya ulaya.
Normal distribution curve is all about people not race.
Gifted people are very few in everyrace.
Wenzetu hawafanyi mchezo kwenye suala la kuwabaini na kwaendeleza gifted.
Gifted people ndio wanaoleta mapinduzi duniani katika kila nyanja.
Sasa wewe una watu wanaopigiwa kura bila kujali vigezo vya intelligence halafu utarajie mapinduzi ya ghafla ya kiteknolojia na uchumi, haijawahi tokea dunia nzima, itaanzia kwetu labda.
Kwa kifupi tunaongozwa na vilaza ukilinganisha na hao wenzetu ila si kwamba hawapo geneus bali hawapewi nafasi wa excel .
Rejea teuzi za uongozi zinavyofanyika, hamna ushindani wa weledi bali matakwa na historia ya kuwepo kwenye kundi au umaarufu au kufahamiana.
Sijawahi soma kitabu chochote kinachoeleza eti umaarufu ndio kigezo cha uongozi.
Trump aliingia madarakani kwa vigezo vya umaarufu na intelligence lakini akakosa kigezo cha wisdom, kapigwa nje na wamarekani.
Sisi huku jitu bogus linaweza tawala miaka hata 40 na wala hatuna shida kisa yupo ktk group.
Nishakuambia watu weusi tulikua hatuna fursa katika miaka ya karibuni. Ila utawaona muda sio mrefu
Serikali hawajawahi kukataa kusaidia wanasayansi...umeonana na viongozi huko serikalini kuwapa proposal yako?Wanasayansi tupo ila hakuna wafadhili. Ukitaka jambo lako liende labda usalimishe wazo lako kwa mabeberu kitu ambacho ni risk unaweza poteza haki ya umiliki.
Wenzetu wanaijeria wamejiongeza sana kwenda ulaya kufanikisha ndoto zao.
Kama una hela sema niwasiliishe propasal /wazo la kuzalisha umeme kwa nguvu za jua bila sola panel ni idea mpya kabisa sojaiona mahala na idea nnayo zaidi ya miaka kumi sasa, itajifia kama sitapata pesa za kufund mi mwenyewe.
Shida kubwa TZ hakuna maabara za kisasa kama za china nk.
Kuna madogo walikuwa wanafanya project ya third year wakawa wanataka kupima sample za udongo kujua kiwango cha radiations, cha ajabu walizunguka dar yote wakapara sehemu 2 tu za kupimia tena viwandani na charge ni laki kwa sample moja. Hilo ni jambo dogo tu walitaka kukwama je makubwa yatawezekana.
Msichukilie utafiti kama chai ya rangi.
Nipe kampuni mmoja iliokuzwa na serikali ambayo sasa inatikisa TZ na Afrika.Serikali hawajawahi kukataa kusaidia wanasayansi...umeonana na viongozi huko serikalini kuwapa proposal yako?
Hujajibu swali lote. Hii tofauti ya genes ilianza lini? Maana miaka 3000 iliopita wazungu waliishu tu mapangoni.Mimi sijasema kwamba tunawazidi Wazungu kwa michezo, ninachosema ni kwamba sisi waafrika weusi ni talented katika michezo na sio katika Mambo ya Sayansi (Math, Physics, Chemistry, Medicine nk), kama kungalikuwa na Zawadi ya Nobel katika michezo basi watu wengi weusi wangalipata hiyo zawadi jinsi leo Waisraeli wengi walivyopata Nobel prizes.
Hakuna historia ya mtu mweusi aliyegundua hata theorem katika maths, physics nk, ukilinganisha na watu weupe, sisi watu weusi tunapoona jambo huwa hutujiulizi; Why, what and why??, na wala hatuna muda wa kutafiti mambo ya nature yanayotuzunguka jinsi watu wengine walivyokuwa na wanavyofanya, matatizo na shida nyingi tunazo lakini badala ya shida hizo kuwa chachu ya kutufanya tutumie akili zetu kuyatanzua na hivyo kukuza uwezo wa akili zetu katika kutanzua hizo shida mbalimbali tunamsubiri mzungu aje atusaidie (chukua mfano wa chanjo ya corona).
Tatizo au msingi wa hiyo kadhia yote inaanza na utashi, hamu, msukumo binafsi wa mtu mmoja mmoja ambapo kwa wazungu na waasia kitu hicho kimo damuni kwa wengi wao kulinganisha na sisi Black Africans (genetical inherent), ndio nasema ni vigumu sana sisi tuwe sawa na Wazungu katika masuala ya kisayansi kama genes zetu hazitakuwa mutated ili zifanane na za wazungu ili tufanye mambo kama wao kutokana na utashi uliojengeka ndani ya genes zao.
Tofauti ya wazungu na sisi ni kwamba wazungu wanafanya utafit sisi hatufanyi utafiti, hakuna cha genes !Mimi sijasema kwamba tunawazidi Wazungu kwa michezo, ninachosema ni kwamba sisi waafrika weusi ni talented katika michezo na sio katika Mambo ya Sayansi (Math, Physics, Chemistry, Medicine nk), kama kungalikuwa na Zawadi ya Nobel katika michezo basi watu wengi weusi wangalipata hiyo zawadi jinsi leo Waisraeli wengi walivyopata Nobel prizes.
Hakuna historia ya mtu mweusi aliyegundua hata theorem katika maths, physics nk, ukilinganisha na watu weupe, sisi watu weusi tunapoona jambo huwa hutujiulizi; Why, what and why??, na wala hatuna muda wa kutafiti mambo ya nature yanayotuzunguka jinsi watu wengine walivyokuwa na wanavyofanya, matatizo na shida nyingi tunazo lakini badala ya shida hizo kuwa chachu ya kutufanya tutumie akili zetu kuyatanzua na hivyo kukuza uwezo wa akili zetu katika kutanzua hizo shida mbalimbali tunamsubiri mzungu aje atusaidie (chukua mfano wa chanjo ya corona).
Tatizo au msingi wa hiyo kadhia yote inaanza na utashi, hamu, msukumo binafsi wa mtu mmoja mmoja ambapo kwa wazungu na waasia kitu hicho kimo damuni kwa wengi wao kulinganisha na sisi Black Africans (genetical inherent), ndio nasema ni vigumu sana sisi tuwe sawa na Wazungu katika masuala ya kisayansi kama genes zetu hazitakuwa mutated ili zifanane na za wazungu ili tufanye mambo kama wao kutokana na utashi uliojengeka ndani ya genes zao.
Unalijua gape la china na ualaya mwaka 80.Muda sio mrefu, miaka 2, 3, 4, 5??, miaka mingapi ijayo???-- wakati wenzetu wanakimbia sisi bado tunatembea, wakati wenzetu walipokuwa wanatembea sisi tulikuwa tumesimama, wakati walipokuwa wamesimama sisi tulikuwa fofofo, sasa ni lini utamfikia mzungu??
Hujajibu swali lote. Hii tofauti ya genes ilianza lini? Maana miaka 3000 iliopita wazungu waliishu tu mapangoni.
Je hizo genes zilikuwa zimelala?
Unajua aliyegundua/tengeneza mfumo wa online company registration mfano Brela...nchini!?Serikali hawajawahi kukataa kusaidia wanasayansi...umeonana na viongozi huko serikalini kuwapa proposal yako?
Juzi Waziri wa Viwanda kazindua tela la tani 5 pale saba saba..Hivi Ile mashine ya kujifukiza bado inafanya kazi ,wanasayansi wa Tanzania mnachejesha hatari
Nataka unioneshe ubora wa hizi genes miaka hio na kama umeshindwa basi hakuna tofauti yoyote ya genes bali ni hali ya mazingira na utashi.Miaka 3000 iliyopita wao walipokuwa wakiishi mapangoni sisi tulikuwa tunaishi katika maghorofa??!--- au kipindi hicho tulikuwa tumewazidi nini??
Nataka unioneshe ubora wa hizo genes miaka hio na kama umeshindwa basi hakuna tofauti yoyote ya genes bali ni hali ya mazingira na utashi.Miaka 3000 iliyopita wao walipokuwa wakiishi mapangoni sisi tulikuwa tunaishi katika maghorofa??!--- au kipindi hicho tulikuwa tumewazidi nini??
ile itawekwekwa kama kumbukumbu ya uvumbuzi uliowahi kufwanya na wasomi wa tz chini ya mkemiaHivi Ile mashine ya kujifukiza bado inafanya kazi ,wanasayansi wa Tanzania mnachejesha hatari
Nataka unioneshe ubora wa hizi genes miaka hio na kama umeshindwa basi hakuna tofauti yoyote ya genes bali ni hali ya mazingira na utashi.
Nikuunge mkono kwa kusema wenzetu wadadisi sisi hatujaamua kufanya udadisi.
Km ni kweli basi itakuwa vizuri, maana Baba yangu mzazi ni Kipofu kwa hiyo itamsaidia sana.Japokuwa hbr ipo juu juu Sana haielezi kinagaubaga.Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.
Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.
Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.
Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.
We haujafaham tu. Serikali bado haina uwezo wa kudharamia tafiti za gharama kama hizi.Serikali hawajawahi kukataa kusaidia wanasayansi...umeonana na viongozi huko serikalini kuwapa proposal yako?
Sio rahisi hii tec kuwasaidia watu masikini maana baada ya kukamilika itagharim million kama 200 hivi. Na watu wenye umri wa miaka chini ya miaka 25 au zaidi ya miaka 60 hawatafanyiwa hii operation. Pia baada ya miaka kumi utavadilishiwa hicho kifaa. Hapo atumie teknolojia saidizi za simu au computer nk zitamsaidia. .mimi pia sioni kama huyo baba yako.Km ni kweli basi itakuwa vizuri, maana Baba yangu mzazi ni Kipofu kwa hiyo itamsaidia sana.Japokuwa hbr ipo juu juu Sana haielezi kinagaubaga.