Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

hahahahahahaha Nimecheka sana ujue nimekumbuka warusi Fulani mwaka mpya wa 2019 nilikutana nao pale seacliff hotel wajamaa walikuja group kama kumi hivi Sasa wakapiga Hesabu weeee wakaona mmmmh haiwezekani Kila mmoja anywe mzinga wa Vodka itawakata Sasa wakaagaiza makreti ya local bia yaani
kilimanjaro na safari basi walikata kreti Tano Kwa siku sababu zile zipo kwenye all inclusive guest ni kama Bure tu basi wakikata kreti Tano wakiona imekolea mwisho wanaagiza chupa Moja ya vodka kushushia Ili walete stimu zaidi
Baada ya siku mbili hotel bia zikaanza kua adimu meneja mhindi alimaindi kichiziiii nilichekaaa nikasema warusi ni nyokooo Halafu yana vurugu Yale majamaa usipime yakilewa yanaanza imba nyimbo za solidarity Kwa taifa lao
Kwa Nguvu kichizi Hadi kero!

Warusi kupanda chai maharage kuzunguka unguja hawaoni kazi,au kula kipindi ngoko to ngoko from Bububu to mkokotoni!
😂😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]
 
Watz, ni ngono, rushwa, ujanja ujanja (ulaghai) na wizi. Kufanya kazi ni sifuri.
 
Kuna mtalii toka South?
Tulikua na bosi mmoja mzungu wa south kampuni yake maporini huko,baada ya kazi akiwalipisha hunters na watalii anachaji na tip anatia ndani.
Unakuta wale wazungu wanatoa tip ingine tupewe yule fala anadai ntawapa.
Anazima tena,Siku nilimpigia mahesabu nikadai zote mpk alitoa na kazi ikaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…