Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Hata wewe mrembo unalijua hili...

Duka lenu liko wapi nije kama mtalii?

#YNWA
Ha ha haaaaa haaa. Mie naishi hapa stone Town. Huwa nawasikia wadau kuwa watalii kutoka Urusi ni shida. Hawapandi taxi, huko hotels shamba wanachkua rooms lkn wanakula kwa mama ntilie, mambo ya chakula cha elfu arobaini kwao Big no. Na yale maji ya chupa wanouziwa elfu tano hawataki kabisa utapeli huo. Wanarudi rooms kulala washashiba chakula cha mama ntilie. Na maji yao wanarudi nayo kabisa. Katuni elfu tano washapata maji ya siku nzima ambayo hotel wangeuziwa chupa moja tu kwa bei hio.

Naskia rooms wakiashea kama wapo family.

Kuna clip moja ilisambaa wamepanda gari.

kama Tata ivi nafkiri waliomba lift [emoji1787]

Yaani kipindi kile cha corona wataliano walivokimbia kurudi makwao hao warusi ndio walijazana lkn jamaa wa tourism sectors wengi walikuwa wanawalalamikia
 
Makaburu ni waafrika tu, wamisri, wahindi na wazungu wa zimbabwe ni waafrika kwa tabia.
Uzungu na Uarabu ni tabia sio rangi, mwarabu wa Dubai usije linganisha na mwarabu wa unguja au moroco, halikadharika wazungu waliokulia Afrika usije linganisha na wa ulaya ni vitu viwili tofauti .
Tukumbuke tabia hujengwa na mazingira na hali ya uchumi wa nchi sio na rangi ya mtu.
Le Mutuz aliyeishi Miaka 30 New York city nae tumuite Mzungu kitabia?
 
Ha ha haaaaa haaa. Mie naishi hapa stone Town. Huwa nawasikia wadau kuwa watalii kutoka Urusi ni shida. Hawapandi taxi, huko hotels shamba wanachkua rooms lkn wanakula kwa mama ntilie, mambo ya chakula cha elfu arobaini kwao Big no. Na yale maji ya chupa wanouziwa elfu tano hawataki kabisa utapeli huo. Wanarudi rooms kulala washashiba chakula cha mama ntilie. Na maji yao wanarudi nayo kabisa. Katuni elfu tano washapata maji ya siku nzima ambayo hotel wangeuziwa chupa moja tu kwa bei hio.

Naskia rooms wakiashea kama wapo family.

Kuna clip moja ilisambaa wamepanda gari.

kama Tata ivi nafkiri waliomba lift [emoji1787]

Yaani kipindi kile cha corona wataliano walivokimbia kurudi makwao hao warusi ndio walijazana lkn jamaa wa tourism sectors wengi walikuwa wanawalalamikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shabalala
*
TableSlap_512.jpg
 
Sasa bibi yangu akifanyiwa Hivyo Mimi niteseke na Nini?
Pesa zake,Raha zake na starehe zake nianzaje kuziingilia au unataka wewe ndio upate hiyo nafasi anayopata kijana mwenzio kutoka Kwa bibi Yako?
Anyway hoja sio bibi ni bibi la kizungu Hivi wewe yule bi Melinda gates mfano ndio amekuja kutalii hapa bongo bahati Yako mkapata nafasi ya kuonana na akashoboka utampotezea na kuchezea nafasi hebu kuwa muwazi kijana mwenzangu!
Utuambie hapa tujue misimamo Yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
hahahaaha Kuna mzungu alifika zake visiwa vya karafuu kutalii Sasa kumbe yule bwana ana tabia za kimende,akawa anatafuta mtoto Mchele Mchele a.k.a Mchele wa Pemba, mrenda mrenda,Wali Nazi Ili amtindue Tako,
Baada ya kuona Hana njia ya kupata akakutana na Masai Mmoja na kumpa deal la kumtafuta Huyo Kijana Kwa gharama yoyote na dau lilikua kubwa tu kimtindo
Eee bwana eee Masai si akaingia tamaa akaona AAA wee hii Dili atafaidije mwingine wakati na Mimi naweza Kazi kwani sh ngapi
Akarudi kumwambia yule bazazi Ile Kazi anaiweza aiseee yule bazazi si akamtundua Marinda Tena hadharani
Baada ya kitendo kile Masai alidhalilika Sana akaamua aji rest in peace Kuepusha fedheha maana ilikua Soo!
Ndio Hivyo yaani!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna clip ilikua inazunguka Unguja jamaa katoa offer ya Altezza ila mhusika akubali kuliwa hadharan. Dogo kajitosa baada ya dakika 10 kakabidhiwa chombo
 
Back
Top Bottom