Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Nyie ndiyo kati ya wale mnaosababisha hao wanaowanunua wakirudi kwao wanaandika "MY AFRICA EXPERIENCE WITH SEX TOUR" Kijana umesomea kuongoza watalii baadae unaanza kujiuza au kuwaimbia wateja wako ili walale, what's this bullshit!.
 
Sio bahili ni utamaduni wao "asiyefanya Kazi na asile"
 
Nyie ndiyo kati ya wale mnaosababisha hao wanaowanunua wakirudi kwao wanaandika "MY AFRICA EXPERIENCE WITH SEX TOUR" Kijana umesomea kuongoza watalii baadae unaanza kujiuza au kuwaimbia wateja wako ili walale, what's this bullshit!.
Kujiuza sio kosa ni hiari ya mteja kununua au kuto.
Kuna utalii wa kufata ngono pia
 
Kuna mtu alisema kuwa tour guider ni kujizalilisha ..kule Arusha watalii wamelala waafrica the so called guider wanaimba nyimbo hadi jamaa wapate usingizi wao wakae macho kulinda mabegi ....wazungu wakiondoka wanaaza kutia huruma wachie viatu,sandal,makoti etc..
Haa
Ukistaajabu Ya Mussa Utaona Ya Firauni
Yaani Umegonga Kwenye Ugoko
 
Back
Top Bottom