kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kua na adabu hao sibibi zako hao wakisouth mnaharibu ujirani mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee mwenyewe umetaja ...Africa!Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ulimpa show Kali anakuachia Dola za maana
Mkuu mbona umeuliza ukaweka na jibu lake,Hivo vibibi mnavigegeda vipi wakati estrogen zimekata wakavu huko chini kuliko kawaida??..au wanakula hormonal replacement therapy kuleta utelezi??
Ukiona hivyo ujue huyu ni beach boy hana Kazi zaidi ya hiyoKwanini msifanye kwa weledi?mambo ya kutegemea kulala na wageni ni kujidhalilisha tu,mna tofauti gani na wanawake wanaojiuza sasa
Kwanini usitegemee malipo ya kazi yako halali then hilo la tip iwe ziada tu?
Vipi kuhusu warusi mkuu nawao wanaliwa kiwepesi bila kusahau wachina?
Wapare wa dunia ya kwanza😂Wajerumani sasa ndio wapare wengine, ukikutana nao kimbia kazi iyo
hahahhaaahahahhaaahNimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ulimpa show Kali anakuachia Dola za maana
Suka rasta kwanza ndo ujehahahhaaahahahhaaah
Naunga
mkono hoja mkuu wangu Sikupingi Aisee
Hivyo vi bibi vya south vina uswahili Sana Aisee nilikua kwenye resort Moja pale Mangapwani nikashuhudia usemayo!
Anyway mkuu connection basi Kama Kuna kanafasi kokote hapo ni pm nitakufa njaa Sina connection, na Mimi ni junior kwenye tourism industry
Shukrani!
😁😁😁
Mbona wewe unalala na wenyeji hatuiti kujidhalilisha? Acha kufuatilia michongo ya watu. Sisi tunasaka hela sio welediKwanini msifanye kwa weledi?mambo ya kutegemea kulala na wageni ni kujidhalilisha tu,mna tofauti gani na wanawake wanaojiuza sasa
Kwanini usitegemee malipo ya kazi yako halali then hilo la tip iwe ziada tu?
Mimi sio Beach boy,Barman hapa mkuu Kama Kuna position ipo ya kumix ma Koktalo kama sex on the beach,mojitos,Cubaribre,ciders nk nipo good mkuu wangu connection mchawi kupate mia mbili mbili laifu liende!Suka rasta kwanza ndo uje
Poa nakuchekMimi sio Beach boy,Barman hapa mkuu Kama Kuna position ipo ya kumix ma Koktalo kama sex on the beach,mojitos,Cubaribre,ciders nk nipo good mkuu wangu connection mchawi kupate mia mbili mbili laifu liende!
Bongo nyosso Aisee!
Shehe huko Nungwi vijana wananyonya dhakari za wazungu mchana peupe kupata Dola 100Unategemea kuishi kwa kuhongwa na mabibi hadi lini?
Shehe huko Nungwi vijana wananyonya dhakari za wazungu mchana peupe kupata Dola 100
Wajerumani sasa ndio wapare wengine, ukikutana nao kimbia kazi iyo