Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Uko sahihi,kuna takwimu zimetoka wiki iliyopita mashonga ni wengi sana huko Unguja,nadhani mambo ni hayahaya,sasa unadhani likija Libabu lina hela zake wanafanyaje.
Hizo ni tabia za watoto wa Unguja na Pemba huko sie wamatumbi hua tunadeal na
pisi + vibibi wa kimataifa wenye genye zao wanapelekewa moto
Ila Sasa wanatuamgusha ndugu zetu waleeee wa makunduchi kupenda vya Bure na kazi hawataki wanashinda pembezoni mwa mahotel makubwa wakijichetua Kama kina mwajuma wa buza, hapa sisi tunazungumzia wale staff wa industry after job opportunity unakutana na mission ya uchakataji wa mbususu za kimataifa hatupotezi nafasi!
 
Acha ujinga nenda kwenu kalime mihogo na ili usife njaa kwa mwanaume kudanga na vibibi vizee ni laana ,hakuna siku utafanikiwa.
hahahahhaa utakuta unanambia niende nikalime Ili Hali wewe upo Kwa shemeji Yako umeketi kwenye kochi na remote ukiangalia tamthilia za kihindi,
Sio Kila mtu lazima alime sie Wengine Hizo ni Tourism industry Ndio fan zetu na tumepiga shule Kwa maswala hayo Sasa ulitaka tufanye kazi Gani?
Haya tunayojadili hapa sio kwamba tunakua tumekaa tu Kama ulivyokaa wewe hapo Kwa shemeji Yako na umegraduate na jobless
Hizo mission Huwa zinatukuta tukiwa on duty!
Usikalili!
 
Kuna mtu alisema kuwa tour guider ni kujizalilisha ..kule Arusha watalii wamelala waafrica the so called guider wanaimba nyimbo hadi jamaa wapate usingizi wao wakae macho kulinda mabegi ....wazungu wakiondoka wanaaza kutia huruma wachie viatu,sandal,makoti etc..
dah
 
Hao na wenzao wa Arusha. Wanapenda sana slope za wazungu kwa namna yoyote ile.
Huku ndo tuna chanzo cha mapato yatokanayo na utalii, michakato yote inaendelea......kuelekea nyakati za mwisho tamaa nayo itaongezeka sana, ndo pamoja na hizi za kufanya uzinifu na vibibi ili kupata mshiko.
 
Hivi unalala vipi na mtu ambaye kiumri ni sawa na mama yako au bibi yako?!

Dah laana zingine hizi. 6
 
Wanaojua hii kazi hakika wanatajirika.

Watu wanatafuta Argent's..tu basi na unaichezea pesa mbaya...

Hii kutaka pesa kwa Chiu..ndio inayofanya mbaki..bakuja miaka yote!

Baadae mashoga wanaongezeka..
Argent [emoji777]

Agent [emoji3581]
 
Bibi yako akifanyiwa ivyo utapenda?
Ulitakiwa umwambie tu madhara ya kufanya ngono, na wazee ingetosha siyo kumtolea mfano na bibi yake hayo hayo ni matusi.
Kila mwanamke unae fanyanae ngono, ana mfanao na anaekuhusu, aidha Mama, Dada au hata shangazi, tunachoangalia ni pasiwe na uhusiano wa kindugu basi.
 
ila jamani hasa sisi watanzania , hakuna kitu hawa wenzetu weupe wanachukia kama Kulazimisha urafiki
nyinyi ma gadi wa watalii na kwenye mahoteli , muhudumie mtaalii, kisha endelea na shughuli zako , usifosi urafiki, hawapendi
unawasemea?
Wapi walikupa taarifa kua hawapendi urafiki?
Au ni hisia zako tu Ndio zinakuendesha!
 
unawasemea?
Wapi walikupa taarifa kua hawapendi urafiki?
Au ni hisia zako tu Ndio zinakuendesha!
Sasa si mnakuwa mnawafuatafuata mkitaka wawape tipu au waombe mgegedo.........mwingine unaweza kuta hana time ila anakereka kwa namna ulivyokomaa kumfuatafuata au kumuulizauliza vijimaswali visivyo na msingi, fanyeni kazi kutokana na taaluma inavyowataka, siyo kuingiza tamaa nyingine nyingine.
 
sawa mkuu Asante Kwa ushauri,hiyo ni Moja ya changamoto za industry,Kuna baadhi wanalia Lia Sana shida badala ya kufanya Kazi professional,Ndio wale wanachafua image ya sekta nzima!
Kwa huo ushauri kama wapo humu wauchukue!
 
Kuna mtu alisema kuwa tour guider ni kujizalilisha ..kule Arusha watalii wamelala waafrica the so called guider wanaimba nyimbo hadi jamaa wapate usingizi wao wakae macho kulinda mabegi ....wazungu wakiondoka wanaaza kutia huruma wachie viatu,sandal,makoti etc..
Hapo bado watalii hawajaomba 0713
 
Ulitakiwa umwambie tu madhara ya kufanya ngono, na wazee ingetosha siyo kumtolea mfano na bibi yake hayo hayo ni matusi.
Kila mwanamke unae fanyanae ngono, ana mfanao na anaekuhusu, aidha Mama, Dada au hata shangazi, tunachoangalia ni pasiwe na uhusiano wa kindugu basi.

Sijamtusi bwana msibadilishe sentence.

Wala msikaribie uzinzi (zinaa). Hakika huo ni uchafu na njia mbaya. (Surat Al Israai) (32)
 
hahahaha hakuna Cha kutia huruma Wala Nini Hizo Ndio harakati zetu za kawaida katika upambanaji,kama kibibi mwenyewe amewish kupelekewa moto si tufanyaje mkuu,anapelekewa moto na pesa anatoa tunakuwa tumedouble profit umechakata na pesa unapewa,Sasa Mimi na wewe tuna tofauti wewe so hua unahonga pisi Kali Ili upeleke moto Sasa sisi ni vice versa hatutoi pesa ila tunapewa pesa na kupeleka moto
Firee 🔥
Wala msikaribie uzinzi (zinaa). Hakika huo ni uchafu na njia mbaya. (Surat Al Israai) (32)
 
Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ukimpa show Kali anakuachia Dola za maana.
NB: Karibuni wamachinga tusake noti kwenye utalii

View attachment 2043099
Ndio maana kabla ya kuja unampa itinerary na anakuja kajipanga kwa hilo.
Ila nadhani ni mindset tumezaliwa tumekua na tunaziishi, mindsets za ‘ombaomba’ ni mindset za kimasikini na kishenzi sana.

Bahati mbaya huwa hawasemi ukitaka kujua wanayokuwaza soma articles zao kuhusu travel to africa and experience ndio utajua nini wanazungumza kuhusu “wewe”
 
Back
Top Bottom