Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

Kuna mtu alisema kuwa tour guider ni kujizalilisha ..kule Arusha watalii wamelala waafrica the so called guider wanaimba nyimbo hadi jamaa wapate usingizi wao wakae macho kulinda mabegi ....wazungu wakiondoka wanaaza kutia huruma wachie viatu,sandal,makoti etc..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa bibi yangu akifanyiwa Hivyo Mimi niteseke na Nini?
Pesa zake,Raha zake na starehe zake nianzaje kuziingilia au unataka wewe ndio upate hiyo nafasi anayopata kijana mwenzio kutoka Kwa bibi Yako?
Anyway hoja sio bibi ni bibi la kizungu Hivi wewe yule bi Melinda gates mfano ndio amekuja kutalii hapa bongo bahati Yako mkapata nafasi ya kuonana na akashoboka utampotezea na kuchezea nafasi hebu kuwa muwazi kijana mwenzangu!
Utuambie hapa tujue misimamo Yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko sahihi,kuna takwimu zimetoka wiki iliyopita mashonga ni wengi sana huko Unguja,nadhani mambo ni hayahaya,sasa unadhani likija Libabu lina hela zake wanafanyaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaha hakuna Cha kutia huruma Wala Nini Hizo Ndio harakati zetu za kawaida katika upambanaji,kama kibibi mwenyewe amewish kupelekewa moto si tufanyaje mkuu,anapelekewa moto na pesa anatoa tunakuwa tumedouble profit umechakata na pesa unapewa,Sasa Mimi na wewe tuna tofauti wewe so hua unahonga pisi Kali Ili upeleke moto Sasa sisi ni vice versa hatutoi pesa ila tunapewa pesa na kupeleka moto
Firee [emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] faida mara 2,utelezi na pesa juu.
 
hahahah kweli aiseee Kuna muda nilikua na experience life la uropa maana muda mwingi nilikua nipo Karibu na whites siku nzima nafanya service bungalow baasi hapo ni mwendo wa koktal,spirit and wine kama nipo Miami beach hahahahhaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana tafiti zinaonyesha watalii wengi wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena . Sababu wanakutana na watu wapumbavu Sana Kama huyu mtoa mada..
Na ndio wanatukimbizia watalii hawa kenge
 
Bongo kila Jambo Ni jambo me nikafikiri kwenye secta hizo maybe watu wanalipwa vizuri kumbe hadi ujiongeze tena[emoji23]
hao beach boys na papasi sis wenye vi company vyetu mbona mambo sawa tu ukiondoa kadhia ya corona ? na tukitaka kutafuna tunatafuta wqri haswa sio vibibi tena kwq mutual respect just have agood time sio hao akina mtaji kiuno uzee pesa type of relationship!
 
Back
Top Bottom