Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

50/50 umeitoa wapi? Watanganyika hawawezi kuajiriwa Zanzibar sekta yeyote serikalini.
 
Mkuu hoja yako niya kitoto sana...huu ubaguzi unaoshadadia nakushauri uachane nao
 
Aise inaumiza sana mbona sisi watanganyika ajira zao za ZRA hatuna uwezo wa kuomba?.....Nyerere alituingiza chaka sana japo wengi mnahisi alikua mwema sana.
 
Huu muungano Nyerere alituingiza chaka Watanganyika kuchomoka ni ngumu
sijui yule mzee aliwaza nin!
 
Mbona nyny serelikal yenu inafungamana na dini yetu hapana natukija huko mnatubagua sana mtu unaulizwa kwann hujaswali .serikal yenu inatakiwa kuacha kufungamana na din kwanza
 
Kwahiyo ZRA ya kazi gani???

Kama TRA ni suala la muungano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…