Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

Huu ni unyonyaji, wizi na utapeli wa kiwango cha kutisha.

Kinachosikitisha ni kuwa wazanzibar wote ni wazalendo sana kwa Zanzibar yao, ila Watanganyika walio na nafasi za mamlaka serikalini, bungeni, majeshi, ccm, TiSS, nk hawana uzalendo wowote kwa Tanganyika, ni wasaliti.

Wananchi wa Tanganyika wanapaswa kujulishwa kikamilifu kuhusu huu uhuni wanaofanyiwa na watawala

Taarifa muhimu ni kwamba aliyeta huu ujinga ni Mohamed Mchengerwa.

Mchengerwa Baba yake ni Mzanzibar akifanyakazi BP,Mama yake ni Mtanganyika aliwahi kuajiriwa Air Tanzania miaka hiyo.

Mchengerwa kwa asili ni Mzanzibar anaongoza TAMISEMI huku Tanganyika.

Mchengerwa kaoa Binti wa Rais ambaye ni Mzanzibar.

Mchengerwa roho yake na mahaba yapo Zanzibar.

Mchengerwa kuwa Mbunge wa Rufiji anauweka kando Uzanzibari wake anavaa Utanzania.

Watanganyika mpaka hapo tupimeshapigwa 3 bila.
 
Heshima sana wanajamvi.

TRA wametangaza ajira mpya 1,574.

Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.

Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.

Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.

Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.

Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.

Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano

Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 2013.
HUYO LISU MNATAKA AWAFANYIE KILA KITU ILHALI WA TZ NI MAITI ZINAZOTEMBEA? LISU ATABADILI MIFUMO YA NCHI HII PEKE YAKE BILA NINYI WENYE NCHI KUAMUA NA KUMUUNGA MKONO?
 
Mkoa wa Dar-es-Salaam una idadi ya watu 8.3 million.

Mkoa wa Tanga una idadi ya watu 2.4 Million.

Hii ni mikoa 2 tu ambayo itatakiwa kupigania nafasi za ajira 1,243.

Uku Zanziba ikijinafasi nafasi 331 pekee yake.
 
Tunaweza kutaka tupige kura kuvubja Muungano, ila ni ngumu. Sababu kubwa ni za kiusalama tokea Zanzibar, nafikiri hii ndiyo sababu iliyomfanya Nyerere aunganishe.

Ngongo nimeona umewataja wanavyuo, hao hawawezi kuandamana wa kizazi hiki. Wengi wanasubiria waingie UVccm na kupata vyeo, siyo wa kuwategemea kabisa. Hawa ndiyo machawa watarajiwa.

Nafikiri Tz ni kama sikio la kufa, lisilosikia dawa. Hakuna mwenye afadhali. Wamama na vijana wamepewa mikopo ya samia, utawaambia nini?

Wababa na wengineo wanajipendekeza ili wachaguliwe kugombea udiwani na ubunge huko ccm. Hakuna mtu wa kuitetea hii nchi, kila mtu anajali maslahi yake. Wengine mtajijua, ilipofikia ni kuwaacha tu. Hakuna kitu kisicho na mwisho. Kuna siku mwisho utatokea tu.
 
Heshima sana wanajamvi.

TRA wametangaza ajira mpya 1,574.

Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.

Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.

Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.

Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.

Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.

Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano

Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 2013.
Umeanzisha hoja ili umlaumu Tundu Lissu kwa jambo ambalo na hata wewe umeliona kuwa ni tatizo?

Kwani wewe hutoshi kuibua hoja kama hizi mpaka urushe kila zigo la uchafu wa nchi hii kwamba, lazima usemwe na mtu aitwaye Tundu Lissu pekee..?

Huyu Tundu Lissu ni binadamu eti. Hawezi kuwa kila sehemu, wakati wote..

Yeye kazi kubwa ni ku - create awareness kwa watu wote ili wajue haki na wajibu wao kwa taifa na nchi yao ikiwemo kuibua uozo na kasoro kama hizi na kisha kuchukua hatua hapo ulipo...

SIKILIZA BWANA Ngongo:

Majibu na suluhu ya haya yote yanaweza kutatuliwa na kwisha kabisa au kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo tutafanya A COMPLETE OVERHAULING ya mfumo wetu wa utawala kwa kuhakikisha kuwa tuna sheria nzuri na za haki kusimamia na kuendesha chaguzi zetu ili kutupatia viongozi wakweli na waadilifu waliowekwa na wananchi wenyewe. Haya yanawezekana tu kwa kutengeneza mwafaka wa kitaifa (katiba) mpya ambao ishu ya muungano itakuwa overhauled...!!

Lakini kama mtaendelea kuwa wajinga na wanafiki hivi kwa kumsakama Tundu Lissu, mtakuwa mnalambishwa asali kidogo, huku mkipigwa viboko vya kutosha mpaka mkome...
 
Ila Watanganyika tumekuwaje hadi wazenji wanatuhujumu mchana kweupe
 
Kila nabii na zama zake
 
Hayawezi kuwa na mwisho iwapo wahusika wakuu (wanafunzi wa vyuo vikuu) wapo kimya.

Enzi zetu yangeshafanyika maandamano makubwa sana ya wanafunzi wote wa elimu ya juu.Fikiria wakati huo vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu zilikuwa chache sana.

Leo vyuo vikuu vipo bwerere wamekaa kimya wanangoja malaika wa kuwasemea.
Ukiona hivyo jua umasikini umekidhiri miongoni mwa Wa tanzania.
 
Heshima sana wanajamvi.

TRA wametangaza ajira mpya 1,574.

Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.

Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.

Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.

Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.

Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.

Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.

Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano

Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 2013.
Tanganyika ni Goma na Kivu ya kesho ya Zanzibar ni swala la muda tu.
 
Bado kuna wapuuzi wana hubiri ile anaupiga mwingi. Hii sio sahihi na hii inapaswa kukemewa kwa vitendo.
 
Umeanzisha hoja ili umlaumu Tundu Lissu kwa jambo ambalo na hata wewe umeliona kuwa ni tatizo?

Kwani wewe hutoshi kuibua hoja kama hizi mpaka urushe kila zigo la uchafu wa nchi hii kwamba, lazima usemwe na mtu aitwaye Tundu Lissu pekee..?

Huyu Tundu Lissu ni binadamu eti. Hawezi kuwa kila sehemu, wakati wote..

Yeye kazi kubwa ni ku - create awareness kwa watu wote ili wajue haki na wajibu wao kwa taifa na nchi yao ikiwemo kuibua uozo na kasoro kama hizi na kisha kuchukua hatua hapo ulipo...

SIKILIZA BWANA Ngongo:

Majibu na suluhu ya haya yote yanaweza kutatuliwa na kwisha kabisa au kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo tutafanya A COMPLETE OVERHAULING ya mfumo wetu wa utawala kwa kuhakikisha kuwa tuna sheria nzuri na za haki kusimamia na kuendesha chaguzi zetu ili kutupatia viongozi wakweli na waadilifu waliowekwa na wananchi wenyewe. Haya yanawezekana tu kwa kutengeneza mwafaka wa kitaifa (katiba) mpya ambao ishu ya muungano itakuwa overhauled...!!

Lakini kama mtaendelea kuwa wajinga na wanafiki hivi kwa kumsakama Tundu Lissu, mtakuwa mnalambishwa asali kidogo, huku mkipigwa viboko vya kutosha mpaka mkome...
Nimemtaja Lissu kwasababu kalivalia njuga suala la Wabunge wa Zanzibar kuchaguliwa na wapiga kura wachache.

Zanzibar ina Wabunge wa kuchaguliwa 50 na Wapiga kura 500,000 hivi. Wastani wa mbunge mmoja ni wapiga kura 11,000 ukija Tanganyika Wabunge wengi wana wapiga kura 300,000.

Nilikuwa namkumbusha atazame maeneo mengine pia ikiwemo hili la ajira.
 
Bado kuna wapuuzi wana hubiri ile anaupiga mwingi. Hii sio sahihi na hii inapaswa kukemewa kwa vitendo.
Wengine wanajigaragaza kwenye mavumbi ndio ujue Watanganyika akili hatuna.
 
Rejesha akili kidogo.

ZANZIBAR wana Zanzibar Revenue Authority yao ambayo MTANGANYIKA hatii pua.
Kwani Kamishna wa sasa wa Tiharahei katokea wapi kama sio ZRA? Yule siyo Mtanganyika? Fanyeni yenu ya muungano ni magumu kuliko muungano wenyewe.
 
Back
Top Bottom