Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

Mkataba umeitambua Dubai kama state wapi na kwa muktadha gani?

Unajua makubalianonya delolvement of full instrumenys if national power kati ya UAE na Dubai kwenye mkataba huu?

Marekani kuna states 50, lakini hazina full instruments of national power kwa muktadha wa Montevideo Convention.
Ubongo wako umejaa mavi
 
Mimi siukubali mkataba, mkataba una matatizo mengi.

Lakini, hii hoja ya "Dubai sio state" ni hoja mufilisi.

Dubai ni Emirate ya UAE. UAE ina mamlaka ya kuipa uwezo Dubai kuingia mkataba kama huu na nchi nyingine.

Ingekuwa UAE inalalamika kwamba Dubai imeingia mkataba huu kinyemela, hapo ungekuwa na point.

Lakini, UAE ina uwezo wa kuipa idhini Dubai iingie mkataba huu, na haijalalamika, zaidi, UAE inafanya kazi pamoja na Dubai kufanikisha biashara za DPW.

Hivi, unafikiri wanasheria wa DPW ni wajinga waingie mkataba huu bila kupata idhini ya UAE?

Na kama mkataba una idhini ya UAE, serikali za UAE na Tanzania zimeikubalia Dubai kuingia mkataba, uharamu wake unatoka wapi?
Wanasheria wa DPW ni Wajinga ndo maana wamesaini bila kuonyesha nyadhifa zao.
 
Kwa Nini JF siku hizi ina mijitu mijinga kama hili? Wenzako walizopewa posho hawaonyeshi utaahira kama huu.
Ila yeye ana haki ya kuniambia nitulize makalio? Mpumbavu hujibiwa sawa na upumbavu wake. Kqma wewe huwa unakula posho ili uchangie jf usi generalize wote tupo hivyo. Taahira mwenyewe
 
Mbona hatujaona hiyo idhini ya UAE kwenye wale signatories wala power of attorney........wamesaini wahuni wasiojulikana.​
Hayo ni makubaliano ya UAE na Dubai, na mkataba mzima ni wa siri, hata huu mkataba wa IGA hukutakiwa kuuona, umeuona kwa kuvuja tu.

Emir wa Dubai ni Waziri Mkuu na Makamu wa Emir wa UAE.

Unafikiri kuna idhini ya UAE ambayo Dubai itaitaka na kukosa hapo?

UAE na Dubai wanafanya deals pamoja.

Unafikiri wale wanasheria wapigaji wa kimataifa wa DPW wataingia mkataba mkubwa kama huu bila ku clear this very obvious item?

Pelekeni mahakamani hii hoja ya "Dubai si nchi" muone itakavyotupwa.

Halafu ikitupwa mje hapa niwape pole.

Mkataba una mambo mengi ya ovyo, soma review ya TLS wameyaandika mengi, hamna haja ya kutunga mambo ambayo hayana msingi.

TLS wenyewe katika review yao wamesema hili la "Dubai si nchi" hawawezi kulisemea wanahitaji mtu aliye ndani ya mifumo ya Dubai awaeleze. Kwa sababu haya ni makubaliano ya UAE na Dubai, na makubaliano yanaenda kwa usiri, kama mkataba ulivyotakiwa uwe.

Sasa sisi tumepata kimkataba tu kwa ku leak, tushaanza ku form conclusions kuhusu mambo meengi.

Yani mnafikiri mtawakamata DPW kwa technicality ndogo hii?

Mimi mwenyewe mkataba siupendi, natamani ingekuwa that simple kuubatilisha.

Lakini, sipendi kufanya mental masturbation na kuwa na fantasy kwamba it is going to be that easy.

"Dubai si nchi, mkataba ni batili" is not going to work.
 
The montevideo convetion on statehood
 
The montevideo convetion on statehood
It does not prohibit non state governments to enter into international IGAs.

Example number one.

The 2020 IGA between Hong Kong (non state government) and the USA (state government)

Usikariri tu "The Montevideo Convention on Statehood" bila kuelewa inasema nini.

IGA ya Hong Kong na USA hii hapa.

Isome uelimike uache kukariri maneno usiyoyaelewa kama kasuku.

You are so dense it is not funny.

Ni hivi, UAE ni nchi kamili. Inatambulika UN, inatambulika na Montevideo Convention.

UAE ina Emirates saba.

Nchi zote kamili zinazotambulika na Montevideo Convention zina haki ya kuzipa nguvu ya kusaini mikataba ya kimataifa serikali ndogo zilizo ndani ya nchi hizo.

China imeipa Hong Kong nguvu hii kusaini IGA na USA. Nimeweka IGA hapa. Inaonekana UAE imeipa nguvu hii Dubai kusaini IGA na Tanzania.

UAE inaweza kuzipa ruhusa Emirates zake ziingie mikataba ya kimataifa. Ndicho kilichotokea hapa.

Usichoelewa kipi hapo?

Au unataka kuishi katika fantasy ya "Dubai si nchi, mkataba batili" tu?
The contract is void ab initio
 
The contract is void ab initio
Hujajenga hoja ya kuonesha hilo, hii hoja ya "Dubai si nchi, mkataba ni batili" haina mashiko.

Kwa sababu tumeona Hong Kong si nchi na imeingia IGA.

Acha kuishi kwa fantasy. Shikilia issues za msingi za kuukosoa mkataba, zipo nyingi tu.
 
Nafikiri unajitoa fahamu, maana preamble ambayo ni sehemu ya mkataba imeweka wazi, na hii ndio kosa kubwa hata Bunge letu limeweka wazi.

Kuhusu Hong Kong sidhani kama mkataba wao na huu wa Dp unafafana!
 
State parties hata wewe unaweza kuwa state party, ukipewa full instruments of power na proper devolvement kuwa hivyo.

Unaelewa hata point yako ni nini?

Umeanza kusema Dubai si state, hivyo haina nguvu kusaini IGA na Tanzania.

Nimekuonesha Hong Kong si state, imeingia IGA na USA.

Umekubali kuwa Dubai kutokuwa state haiizuii Dubai kuingia IGA na Tanzania?

Umeondoka katika point hiyo, unaanza kuongelea content nyingine za IGA sasa?

Mkataba wa Hong Kong na USA ni IGA, hiyo ndiyo point muhimu. Kufanana au kutofanana kwingine ni irrelevant as far as point ya nchi au si nchi is concerned.

Ile point yako ya "Dubai si nchi, mkataba ni batili" umeiacha sasa?
 
Dubai ni Emirate ya UAE. UAE ina mamlaka ya kuipa uwezo Dubai kuingia mkataba kama huu na nchi nyingine.
Ila mbona hayo mamlaka waliyopewa Dubeyi na UAE, hatukuyaona, japo mimi siyo mwerevu kabisa wa haya mambo ya kisheria.
 
Ila mbona hayo mamlaka waliyopewa Dubeyi na UAE, hatukuyaona, japo mimi siyo mwerevu kabisa wa haya mambo ya kisheria.
Wewe hukutakiwa kuona chochote.

Mkataba huo wa IGA wenyewe una kipengele cha usiri, hata huo hukutakiwa kuuona.

Umeuona kwa vile umevuja tu.

Sasa, hujui mambo mengi yanayoendana na mkataba huu, kwa sababu mkataba una kipengele cha usiri. Huwezi kutegemea UAE ikupe makubaliano yake na Dubai, kwa sababu mkataba mzima una kipengele cha usiri.

IIa, kwa kuangalia tu kwamba Emir wa Dubai ni Prime Minister na Vice Emir wa UAE, hapo unaweza kuona kuwa Dubai na UAE wanafanya kazi kwa karibu sana na haiyumkiniki Dubai waingie mkataba mkubwa kama huu bila idhini ya UAE.
 
State parties hata wewe unaweza kuwa state party, ukipewa full instruments of power na proper devolvement kuwa hivyo.

Unaelewa hata point yako ni nini?

Umeanza kusema Dubai si state, hivyo haina nguvu kusaini IGA na Tanzania.

Nimekuonesha Hong Kong si state, imeingia IGA na USA.

Umekubali kuwa Dubai kutokuwa state haiizuii Dubai kuingia IGA na Tanzania?

Umeondoka katika point hiyo, unaanza kuongelea content nyingine za IGA sasa?

Mkataba wa Hong Kong na USA ni IGA, hiyo ndiyo point muhimu. Kufanana au kutofanana kwingine ni irrelevant as far as point ya nchi au si nchi is concerned.

Ile point yako ya "Dubai si nchi, mkataba ni batili" umeiacha sasa?
Naomba nikuleweshe, mkataba huu tata, umeitambua Dubai kama dola huru, ndio maana state parties ni Dubai na URT. Kitu ambacho ni kosa kubwa na ubatili
 
Naomba nikuleweshe, mkataba huu tata, umeitambua Dubai kama dola huru, ndio maana state parties ni Dubai na URT. Kitu ambacho ni kosa kubwa na ubatili

Unaelewa mkataba wenyewe ume define "State Party" ni nini katika ukurasa wa 10 na haujatumia definition uliyokariri ya Montevideo Convention?

Mwanzo kabisa IGA inasema kuwa Tanzania na Dubai zitaitwa State Parties. Soma page ya 4 paragraph ya 2.

Yani hapo hata wangeita kijiji cha Kwamtipura ni state party, kwa sababu wanatumia definition ya kwenye mkataba, ukisaini, umekubali kuwa kijiji cha Kwamtipura ni state party.
 
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.

Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika

Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Toka mwanzo CCM, mwanasheria mkuu wa serikali, Bunge, wizara ya ujenzi, mamlaka ya bandari, wamekuwa wakisema hakuna mkataba; CHADEMA na wapiga debe ndio waliokuwa wansema kuna mkataba hivyo wajsomesha wenyewe wakaelewa- MKATABA HAUPO NA BANDARI HAZIJAUZWA
 
Back
Top Bottom