Watanganyika, tuwe wakweli ma tuweke siasa pembeni! Nani anayefaa kuwa Rais kati ya hawa wawili?

Naomba mpige kura!
Wote wana Phd za darasani!
Hapo HAKUNA.
Wote hao ni waungaji mkono wa utekaji, mauaji, ufisadi na maovu mengine yote yanayoendelea nchini.

Kwa mfano, huyo mama alizima hoja maalum ya kujadili bungeni janga la kitaifa la utekaji na mauaji ya wananchi alipokuwa spika!
 
... Lisu Rais wa miyoyo ya waTanzania. Huyu ndio tunaenda nae...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…