Watanganyika, tuwe wakweli ma tuweke siasa pembeni! Nani anayefaa kuwa Rais kati ya hawa wawili?

Kwakuwa hawa wawili ni wana CCM;

Na kwakuwa kwa hoja hii Rais LAZIMA atoke CCM;

Na kwakuwa CCM ni chama kikubwa cha siasa Tanzania, Afrika na duniani;
Basi sisi Wana CCM lialia na kindakindaki hatutatoa maoni yetu kwasababu CCM ina utaratibu wake wa kumpata Mgombea Urais muda mwafaka unapofika!
 
..hivi mnawezaje kuchagua Ccm?
Mkuu JokaKuu , japo naheshimu mawazo yako, but they are not realistic, hoja ya kuichagua tena CCM, ni hoja ya msingi sana!, hata CCM iwe mbovu vipi, iwe imeoza vipi na kuvunda kwa uvundo wa rushwa, ufisadi na sasa udhalimu, lakini in absence ya chama mbadala wa CCM, then CCM, itaendelea kuchakuguliwa, na kuchaguliwa na kuchaguliwa milele, mpaka kujitokeza mbadala!.
mimi naamini mtu akiwa Ccm ana matatizo makubwa ya kifikra, na kimaadili.
This is not realistic, its too general, sio kila mwana CCM ana matatizo, kuna wana CCM wengi kibao, they are good, good brain, high IQ na ni waandilifu. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
P
 
Kumbe na wewe waga ni msengelema hivi?
 
Hakuna anayefaa hapo, Wanawake wameshatuprove wright kuwa hawapaswi kuwa viongozi kwenye secta kubwa na nyeti MFano ya uraisi

Hiyo hotuba Ni ya kawaida sana Tu, Ni mtu anapitia hotuba anakuja kutema yai sasa sijui umewalinganisha Kwa vigezo gani na ilihali Sisi hatutaki hiki chama cha wanamtandao
 
Mkuu JokaKuu , japo naheshimu mawazo yako, but they are not realistic, hoja ya kuichagua tena CCM, ni hoja ya msingi sana!, hata CCM iwe mbovu vipi, iwe imeoza vipi na kuvunda kwa uvundo wa rushwa, ufisadi na sasa udhalimu, lakini in absence ya chama mbadala wa CCM, then CCM, itaendelea kuchakuguliwa, na kuchaguliwa na kuchaguliwa milele, mpaka kujitokeza mbadala!.

This is not realistic, its too general, sio kila mwana CCM ana matatizo, kuna wana CCM wengi kibao, they are good, good brain, high IQ na ni waandilifu. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
P
 
Attachments

  • IMG-20261007-WA0188.jpg
    IMG-20261007-WA0188.jpg
    428.4 KB · Views: 6
Mkuu JokaKuu , japo naheshimu mawazo yako, but they are not realistic, hoja ya kuichagua tena CCM, ni hoja ya msingi sana!, hata CCM iwe mbovu vipi, iwe imeoza vipi na kuvunda kwa uvundo wa rushwa, ufisadi na sasa udhalimu, lakini in absence ya chama mbadala wa CCM, then CCM, itaendelea kuchakuguliwa, na kuchaguliwa na kuchaguliwa milele, mpaka kujitokeza mbadala!.

This is not realistic, its too general, sio kila mwana CCM ana matatizo, kuna wana CCM wengi kibao, they are good, good brain, high IQ na ni waandilifu. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
P

Sio kuchaguliwa , kujiweka madarakani.
 
Back
Top Bottom