Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
 
Hizo ni Kejeli yaani wanatoa Kejeli....

Ila hii tabia ya kufanyia viongozi Birthday (kutengeneza Fursa na Kujikomba) walikuwa nayo wenyewe huenda wanakasirika TBC amewawahi....
 
Ni clouds kama media ama mtangazaji mmoja kaongea kwa njaa yake tu?
Watangazaji wakiongozwa na millard ayo na Hilo pendekezo cloud media wamelipost pia hata kwenye social media zao zote hapa ndio nikajua ni agenda ya media waliowatumia watangazaji
 
Hizo ni Kejeli yaani wanatoa Kejeli....

Ila hii tabia ya kufanyia viongozi Birthday (kutengeneza Fursa na Kujikomba) walikuwa nayo wenyewe huenda wanakasirika TBC amewawahi....
Wapuuzi Sana alafu wameitumia hiyo siku ya kuzaliwa kama Samia day kwenye vipindi vyao vyote
 
Japan na China hawana masherehe mengi ya kijingajinga kama huku kwetu. Kila siku sherehe mara Karume day mmeweka kitako chini hakuna kazi. Sijui 88 mara 77 sijui Nyerere day. Sikukuu zingekuwa tatu tu. Uhuru, Idd na Xmas. Au tano na Maulid na pasaka.
 
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Tuna mambo ya msingi mengi sana yanayolikabili Taifa letu kwa sasa ikiwemo mgao wa umeme usio na kikomo, mauaji ya raia na askari yasiyo eleweka, halafu wanakuja na pendekezo ambalo hakina maslahi yoyote kwa Taifa

What a shame
 
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Na hivi ndio vyombo vya habari nchini. Kulamba viatu vya viongozi?
 
Back
Top Bottom