Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

Marekani mwezi huu waliadhimisha siku aliyozaliwa Martin Luther King. Hakuwa kiongozi wa kwanza wa taifa lao. Unasemaje hapo!
Acha kumfananisha Martin Luther King na Samia, hao ni watu wawili tofauti sana ulimwengu ata bongo hakuna aliefikia ata nusu ya legacy aliyoiacha MLK duniani labda JKN.
 
Wapumbavu wakipewa nafasi ya kuongea lazma wataongea upumbavu wao tu
 
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa

watangazaji wa clouds huwa ni machawa walioota pembe wao huwa wanafikiria kusifia saana watachaguliwa kila mmoja anajitahidi kusifia wanasahau kumsifia mungu anaewapa pumzi
 
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Uchurooo huo!
 
Japan na China hawana masherehe mengi ya kijingajinga kama huku kwetu. Kila siku sherehe mara Karume day mmeweka kitako chini hakuna kazi. Sijui 88 mara 77 sijui Nyerere day. Sikukuu zingekuwa tatu tu. Uhuru, Idd na Xmas. Au tano na Maulid na pasaka.

sisi waislamu tunaikataa maulidi ingefutwa kupumzika siku ya maulidi maana haipo kwenye dini wamefoji bakwata
 
Acha kumfananisha Martin Luther King na Samia, hao ni watu wawili tofauti sana ulimwengu ata bongo hakuna aliefikia ata nusu ya legacy aliyoiacha MLK duniani labda JKN.

martin luther king hamfikii jpm hata nyerere hamfikii jpm
 
CMG ni taasisi kubwa nchini na inakubalika kwa kila lika

Lakini kwa hili mjitafakari samia ataondoka na nyie mtadondoka
 
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Hata Uhuru FM na channel 10 hawawezi kuongea jambo kama hili
 
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Kwa ujinga huu hii nchi haitakaa ipate maendeleo
 
Back
Top Bottom