Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

Sasa hao Wachina sikukuu zao wamezitenga na weekend, ndio mzee ruksa alituleteaga ile formula yake.

Usisahau pia hapo kuna Easter Monday.
Ila hata hizi Nyerere na Karume day tungefanya kazi Hadi saa 6:30 mchana angalau siyo kupoteza siku nzima.
 
Back
Top Bottom