Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Siku ya kufa huadhimishwa moja tu kwa kiongozi wa kwanza wa Taifa (hii desturi ya mataifa mengi) viongozi wengine wakifariki siku yao ya kufa haiwekwi kwenye kalenda ya kitaifa.Nyerere day tunaadhimisha siku ya kufa kwake. Huyu mh siku akifa tutakuwa tunaadhimisha sherehe zake mara 2 kwa mwaka?!
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Japan na China hawana masherehe mengi ya kijingajinga kama huku kwetu. Kila siku sherehe mara Karume day mmeweka kitako chini hakuna kazi. Sijui 88 mara 77 sijui Nyerere day. Sikukuu zingekuwa tatu tu. Uhuru, Idd na Xmas. Au tano na Maulid na pasaka.
Kwani wewe inasemaje?Ngoja Bavicha waje!
Marekani mwezi huu waliadhimisha siku aliyozaliwa Martin Luther King. Hakuwa kiongozi wa kwanza wa taifa lao. Unasemaje hapo!Siku ya kufa huadhimishwa moja tu kwa kiongozi wa kwanza wa Taifa (hii desturi ya mataifa mengi)
Wamenogewa na uteuzi.Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Mimi daily mbio sasa kunikalisha na masikukuu ya ajabu ajabu kamwe sipendi. Ukiwa na faranga kila siku sikukuu achana na uvivu wa serikali dhaifu.Wewe una stress home ndio maana huzipendi sikukuu
Chawa haoWatangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Uko sahihi bossJapan na China hawana masherehe mengi ya kijingajinga kama huku kwetu. Kila siku sherehe mara Karume day mmeweka kitako chini hakuna kazi. Sijui 88 mara 77 sijui Nyerere day. Sikukuu zingekuwa tatu tu. Uhuru, Idd na Xmas. Au tano na Maulid na pasaka.
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Sisi ni wavivu sana tena sana. Angalia wafanyakazi wa Serikalini sikukuu ikiwa Ijumaa wanafurahia lakini ikiwa jumamosi wananuna.Uko sahihi boss
Kwani hapa hoja ni Marekani au Tanzania? MLK anapewa heshima kote ulimwenguni ni miongoni mwa watu waliopambana sana dhidi ya ubaguzi wa rangi.Marekani mwezi huu waliadhimisha siku aliyozaliwa Martin Luther King. Hakuwa kiongozi wa kwanza wa taifa lao. Unasemaje hapo!
Kituo kilichojaa wanafiki na upumbavu mwiingi.Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Ujinga wenu unatupeleka kubayaNgoja Bavicha waje!
Pointless and wasteful life.Ni sawa, kwani kuwa na jinsia hiyo inaleta utaofati upi na wengine waliopita? Yuko pale kikatiba, ndio kiongozi wetu and she's respected nadhani hiyo inatosha sana.