Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

Okey
 
Wale ni watangazaji sio waigizaji,unataka waishi maisha ya kuigiza?Non sense!
 
Wapunguze kuvaa mabaibui
Mh huko Mimi sipo cos ninavyojua kila kipindi kina dressing code yake na mabaibui mm sijayaona hapo labda shungi na kwa upande wa ushungi ni kitu Cha kawaida tu hata mama anavaa na anapendeza Sana.
 
Alokwambia unadhifu ni kuvaa nguo mpya kila siku ni nani?
Nafkiri unatakiwa ujifunze lugha ya kiswahili nini maana ya unadhifu.Au kwa mfano hai jaribu kuvaa nguo yako moja ndani ya mwaka mzima ndio utajua kuwa unachouliza ni kitu ambacho hukifahamu.kama ingelikuwa uniform ingekuwa sawa .
 
Nafkiri unatakiwa ujifunze lugha ya kiswahili nini maana ya unadhifu.Au kwa mfano hai jaribu kuvaa nguo yako moja ndani ya mwaka mzima ndio utajua kuwa unachouliza ni kitu ambacho hukifahamu.kama ingelikuwa uniform ingekuwa sawa .
Kweli mimi sijui kiswahili emu nambie maana ya neno "nadhifu" maelezo yakiendana na maono yako
 
Jf inakuwaga na katabia fulani hivi cha kufuata bendera kwenye uzi..wengi humu wanamuona mleta mada mjinga wakati ana claim mambo ya msingi kabisa.

Media zinazojitambua zina hadi saloon na makeup studio,sasa mnachoshangaa mleta mada kusemea hii kero ya unadhifu ni nini?..

Na presenters kurudia nguo kwa show inayoruka weekly ni kosa kubwa sana..Freshness ndo kitu kinachohitajika.
 
Huwezi amini jamaa wako humu,wanaona jamaa jinsi anavyowasagia kunguni.
 
Mzee inabidi ujengewe sanamu .Tanzania tungekuwa na vijana Kama wewe kumi tu now tungekuwa super power
 
We unajua mtu akifanya kazi azam basi ndo ana mihela ila ukweli wanalipwa hela ya kawaida sana pale azam malipo hayaendani na brand.
kweli kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…