Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

Asante sana Mkuu Mpalakugenda ,ushauri wako nitauzingatia.
P
 
Labda Kikeke tu
 
Elimu, Elimu, Elimu
Tukubali wakenya wametuzidi Elimu
Ndio maana wanajitambua, huku Mwananchi anateseka miaka mitano then anakuja kupewa kitenge na kofia anapoa
 
Kwani mkuu hapa tunaongelea Nini sio uoga na ujinga?!
 
Watano? mkuu ni hakuna yaani ni hakuna nikuhakikishie hakuna, Watano wapi hao?
Eti watano??aisee ni hatuna watangazaji tuma wahuni wahuni tu ambao ni wataalamu wa kuchamba.na ndo mana hatusikilizi redio siku hizi.miaka ya nyuma kidogo kabla ya 2015 watu wengi walikua wana tune powerbreak fast ya clouds F.M ile asubuh sabbu walikua wanaongea isssues.yaan wanahoji walikua wanaweza ata muita waziri wakamuhoji maswali magumu.lkn ss ivi aisee sijui ni ujinga gani unaendelea
 
Kuna ile interview Makamba senior anaulizwa na muandishi wa habari kwanini anasema mambo yapo vizuri hali ya kuwa mambo sivyo kama anavyosema, aisee yule mzee alipandwa na jazba akaanza kutoa na matusi, mzee wa watu sukari ilitaka kupanda.
Ndio nchi yetu tulivyokuza hivyo watu wacheche wanafaidi keki ya taifa kuhojiwa ahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…