Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Kwahiyo mzee baba haya yote ukifanyiwa unajisikiaje
 
si kweli wanaume wengi wa dar huwa wanaogopa kutahiriwa na baadhi yao huwa hawatahiriwi mpaka wanakufa,
ila huku ukifikisha tu muda wa kutahiriwa lazima, ukileta ubishi basi lazima upelekwe hata kwa kufungwa kamba.
Hahahahaha kwahiyo operation mkono sweta Njombe na makete zinakuaga za kazi gani?

Wewe huku tunapata taarifa fasta usiongee uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…