Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Siku hizi hawatumii tena supu ya pweza, wanadanganywa na vumbi la Kongo, kuna wengine wanabugia majivu, na wengine wamedanganywa eti mpaka wapigwe vidole na mademu wao ndipo stimu inarudi kama zamani. yaani wanaume wa Dar, haki ya nani ni vigarasa visivyo na akili timamu.
Kwahiyo mzee baba haya yote ukifanyiwa unajisikiaje
 
Hahaha
868ead35c97e428a650f9c48953bec34.jpg
mimi hapa mwenyewe from bush.


Mwanamme wa Dar atakuambia 'heee jomoni, mimi kupanda mlima ka huu siwezi hakuuu, ngoja nikajilie chips mayai yangu mie, kisha nikajipigie punyeto nilale.'
 
si kweli wanaume wengi wa dar huwa wanaogopa kutahiriwa na baadhi yao huwa hawatahiriwi mpaka wanakufa,
ila huku ukifikisha tu muda wa kutahiriwa lazima, ukileta ubishi basi lazima upelekwe hata kwa kufungwa kamba.
Hahahahaha kwahiyo operation mkono sweta Njombe na makete zinakuaga za kazi gani?

Wewe huku tunapata taarifa fasta usiongee uongo
 
Back
Top Bottom