Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji3][emoji3][emoji3] Mungu anakuona youngMimi siku zote mweusi, au umenifananisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] Mungu anakuona youngMimi siku zote mweusi, au umenifananisha.
Kwahiyo mzee baba haya yote ukifanyiwa unajisikiajeSiku hizi hawatumii tena supu ya pweza, wanadanganywa na vumbi la Kongo, kuna wengine wanabugia majivu, na wengine wamedanganywa eti mpaka wapigwe vidole na mademu wao ndipo stimu inarudi kama zamani. yaani wanaume wa Dar, haki ya nani ni vigarasa visivyo na akili timamu.
Hahahamimi hapa mwenyewe from bush.![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kalegea hatari
si kweli wanaume wengi wa dar huwa wanaogopa kutahiriwa na baadhi yao huwa hawatahiriwi mpaka wanakufa,Hapana mna magovinda jaman msitunyanyasie wanaume wetu
bora unisaidie nitakukumbukaUnaachwaje lakini hatutakubali tutaandamana na sakayo uncle
Sisi siyo washamba wa qummer bob, wewe ambaye kuiona hadi maruwe ruwe ya kinibu na pingu yakutoke endelea kuikamua kama unadaiwa![]()
Mwanaume wa dar bila kuboost na supu ya pweza hawezi kugegeda mwanamke, anakuwa kama hivi.
Wanaweka chumvi limau na pilipiliWanaume wa dar wanakula muhindi wa kuchoma kwa uma.
Hivyo sasa ndio vibwagizo vyenyewe, mbona nyie huko kwenu kuna kunguni hatusemi.Hakuna huku unawaza nyoka huku siafu
Umefumwa.Mimi siku zote mweusi, au umenifananisha.
haya wewe wa mikoani tutafunie iyo ngazi[emoji23][emoji23][emoji23]Nina uhakika huwez tafuna mse wa mchikichi au kutafuna ngazi[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀😀😀Watu nyie wagonvi sanaMwanamme wa Dar atakuambia 'heee jomoni, mimi kupanda mlima ka huu siwezi hakuuu, ngoja nikajilie chips mayai yangu mie, kisha nikajipigie punyeto nilale.'
Ila tunatoka nje kujisaidia uani siyo Kama nyie mnajisaidia kwenye makopo.Dar watu hawalali
huko mkoani saa mbili mshalala
Haha hao ni wa vijijini sio wa mkoaniSasa kama kuna lodge kali mbona mnakulana vichakani
Hatariii[emoji119] [emoji119] [emoji119] wanaume wa mkoani oyeeee in somebodyz voiceHahahamimi hapa mwenyewe from bush.![]()
Hahahahaha kwahiyo operation mkono sweta Njombe na makete zinakuaga za kazi gani?si kweli wanaume wengi wa dar huwa wanaogopa kutahiriwa na baadhi yao huwa hawatahiriwi mpaka wanakufa,
ila huku ukifikisha tu muda wa kutahiriwa lazima, ukileta ubishi basi lazima upelekwe hata kwa kufungwa kamba.
Mwanaume unatakiwa ule ushibe sio unakula kama hiviDalili ya umaskini na uchoyo, ugali mkubwa mboga kidogo watu wamekuzunguka unakomaa mshipa kula peke yako.
Ww si unaogopa mtoto aliteshika kisu wakati jirani yetu mwezi uliopita kapambana na mamba mtoni akiwa kaenda kuteka majihaya wewe wa mikoani tutafunie iyo ngazi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23]Hakuna huku unawaza nyoka huku siafu
Eti wa nguvu yaani mwanume antengeneza kucha unamwita wa nguvuHapana wanaume wa dar ni wanaume wa nguvu kwanza nyie wa mikoani huwa hamatahiriwi