Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Kuwa mwanaume wa dar akili yako inafanya kazi mala 1000 ya mwanaume wa mkoa,hesabu na hali ya maisha ni tofaut kabisa na ukiwa mkoani n kama mbingu na ardhi
Nimezaliwa Mkoa nafahamu vitu vingi vipo kwenye systém inayeleweka Wakati wa Kulima na kuvuna
Ukiwa na Tsh 10000 haina noma maana haina kupanda daladala wala nn n mwendo wa miguu hamna kwa kwenda
Kuhusu panya road/Vibaka aisee watu wa mkoa ndio wahanga wakubwa wa vibaka wa Dar
Story za kupigwa mizigo ubungo haziishagi
Wanawake wa mkoa ni walain sana Wakishajua Mwanaume anatokea dar Yaan unaweza ukamaliza kijiji kama umetokea Dar sound yako Mwambie nitakupeleka dar tu umemaliza
 
Mbaya zaidi wanafikiri kula kidogo ni sifa.
 
Wanaume wa dar kila siku mnaonewa sana ....magereza wanawakunguta ,vile vitoto vya mitaani vinawanyanyasaa yaan shida tupu ...

Na madem wenu wakibahatika kuonjaa radha ya kitu kutoka mkoanii ndo wanawaonaa hovyo kabisaaa

Maserati
 
Halafu hawajui pesa ni mpesa
 
Wakija kusoma au kutafuta maisha dar kwao hawarudi tena walahawapakumbuki ... dar tamu eeeeh
 
Hawajui kuvuka barabara ,wanachojua ni mbio tu utafikiri wanapo kwenye mashindano ya riadha.
Ushauri
Mkiwa mnakuja dar shukieni mbezi mkae pale wiki nzima Kwa ajili ya training ya kuvuka barabara ,tena fursa hii nitaichangamkia mwenyewe nitaweka vijana kila sehemu ya kuingilia dar kujifunza jinsi ya kuvuka
 
Lafudhi sasa dah!!!! ,hasahasa wale kanda ya ziwa , ndimi zenu kama zinabeba vyuma
 
Ngoja wamelala... Usijali kutambazuka... Saa hii wanaogopa kiza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mshana kwa hil hapana waneeni huruma asee



Utacheka umeme ukikatika hata kuingia chooni ambapo ni kiko chumbani humo humo anaogopa mnoo
 
watu wa mikoani wanakula vyakula vigumu mpaka wakienda kunya wanabeba na vilainishi ili wasichanike
Wanaume wa mikoani sio kwamba chipsi hatuli. Tunakula tu kama kiburudisho baada ya kula CHAKULA tusipotoshe. Mfano mimi nikila CHAKULA nafuatia na sahani mbili tatu za chipsi kama tu vile bro Mshana anavojiburudisha na popcorn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…