Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Kuwa mwanaume wa dar akili yako inafanya kazi mala 1000 ya mwanaume wa mkoa,hesabu na hali ya maisha ni tofaut kabisa na ukiwa mkoani n kama mbingu na ardhi
Nimezaliwa Mkoa nafahamu vitu vingi vipo kwenye systém inayeleweka Wakati wa Kulima na kuvuna
Ukiwa na Tsh 10000 haina noma maana haina kupanda daladala wala nn n mwendo wa miguu hamna kwa kwenda
Kuhusu panya road/Vibaka aisee watu wa mkoa ndio wahanga wakubwa wa vibaka wa Dar
Story za kupigwa mizigo ubungo haziishagi
Wanawake wa mkoa ni walain sana Wakishajua Mwanaume anatokea dar Yaan unaweza ukamaliza kijiji kama umetokea Dar sound yako Mwambie nitakupeleka dar tu umemaliza
 
Nilienda dar kutembea Usku naona watu hawaingii jikon baadae nashangaa boda boda anakuja na mifuko kila mtu akapewa mmoja ndani chips kavu na kipaja cha kuku na azam cola ya baridi baada ya kulala saa 9 Tumbo linaanza kuunguruma njaa nikaamka kupika uji sipendagi ujinga
Mbaya zaidi wanafikiri kula kidogo ni sifa.
 
71fddac4a15cac74ca65e05594486119.jpg
wa mikoani acheni ushamba mtachana wadada wa watu misamba bikra ziwatoke[emoji3][emoji3]
 
Wanaume wa dar kila siku mnaonewa sana ....magereza wanawakunguta ,vile vitoto vya mitaani vinawanyanyasaa yaan shida tupu ...

Na madem wenu wakibahatika kuonjaa radha ya kitu kutoka mkoanii ndo wanawaonaa hovyo kabisaaa

Maserati
 
wa mikoani

1. hawajui kuvaa
2. washamba, wanaigana sana na kufata mkumbo, mfano akiona mwenzie kaoa na yeye anataka aoe kumbe kiuhalisia bado hawezi kummudu mwanamke kulingana na kipato.
3. wakija dar wanajua posta, fery, na mliman city tu, usipowapeleka hayo maeneo wanaona kama hawajafika dsm
4. nguvu nyingii akili nukta
5. wanapigwa sana vibuti na madem, anaweza kumtumia pesa mwanamke ambaye hajawahi kumuona
6. ndio wanaoongoza kubwagwa na madem zao
7.wabishi sana, hata kama kitu cha kweli atataka league
8. hawazipendi timu zao, ajabu wanashabikia timu za yanga na simba ambazo zipo dar
9. wakija dar ujuaji mwingi, wakienda shopping wanapigwa sana bei
10.wakigombana na wake/madem zao hukimbilia kujinyonga.
11. wengi ndoto zao ni kufika dar
12. siku wanakuja dar, hawalali huo usiku huo wanapata usingizi wa mang'amng'am ili gar isiwaache
13. kuoga ni hiari
Halafu hawajui pesa ni mpesa
 
Wakija kusoma au kutafuta maisha dar kwao hawarudi tena walahawapakumbuki ... dar tamu eeeeh
 
Hawajui kuvuka barabara ,wanachojua ni mbio tu utafikiri wanapo kwenye mashindano ya riadha.
Ushauri
Mkiwa mnakuja dar shukieni mbezi mkae pale wiki nzima Kwa ajili ya training ya kuvuka barabara ,tena fursa hii nitaichangamkia mwenyewe nitaweka vijana kila sehemu ya kuingilia dar kujifunza jinsi ya kuvuka
 
Lafudhi sasa dah!!!! ,hasahasa wale kanda ya ziwa , ndimi zenu kama zinabeba vyuma
 
watu wa mikoani wanakula vyakula vigumu mpaka wakienda kunya wanabeba na vilainishi ili wasichanike
Wanaume wa mikoani sio kwamba chipsi hatuli. Tunakula tu kama kiburudisho baada ya kula CHAKULA tusipotoshe. Mfano mimi nikila CHAKULA nafuatia na sahani mbili tatu za chipsi kama tu vile bro Mshana anavojiburudisha na popcorn.
 
Back
Top Bottom