Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

[emoji23] [emoji23] [emoji23] utataka tuondoke wote hapo ndio shida itakapoanzia
Najaribu tuuu huwa mnapenda kujisifu na wakati hamna lolote round moja chaliii unabaki kupepewa
 
Mambo ya kupima watoto DNA wametuletea wanaume wa dar,,,hata hyo DNA iligunduliwa na mwanaume wa dar,ikimaanisha "dar es salaam ndoa analyser"
 
Acha tu, mwanaume wa Mkoani nimepigwa na mwanamke wa dar[emoji23] [emoji23] [emoji23],nadhani ameshituka ndio maana anapita huku kafunga vioo.
Mpe hi Sakayo.
Ahahhah sakayo akija atacheka sana ebu niambie umepigwa sh ngapii na me nataka nijipange nikupige bomu langu
 
Hawa ndio wenye shoo za kibabe?
91feffb0fc7fe5bb47c94e0a1f0332f7.jpg
Huyu si Roma huyu mtu wenu wa Tanga huko
 
Back
Top Bottom