Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

Hahaha, umemsoma tusker barid haha

Anakuambia walitokea juliana wakiwa njwii

Wakahamia lava lounge wahudumu wakawasihi wasiendele piga mtungi
Haha

Kweli ajali walijitakia

Ova
Malaika mtoa roho akishakuita lazima uende kwa staili yoyote ile. Ila hizi ajali imekuwa kama movie ya final destination
 
Ila bana pamoja na ajali ila haya Malori ya Mchanga haya, usiku yanaua mnoo! Na yale madude breki zake ni honi, huwa hayasimami.
 
Mtu atafufuliwa katika hali aliyokufia
Mkuu umeua!
Je na ule mkasa wa shehe aliyefia juu ya mwanamke akizuga mkewe kuwahi kuswali?

Sidhani kama Mungu wa upendo ataweza kutoa adhabu za kidhalilishaji namna hiyo.
 
Sema kuna hasara kidogo baadhi walikuwa masoja, mmojawapo ni ana cheo cha major katika kambi ya gongo la mboto [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkuu umeua!
Je na ule mkasa wa shehe aliyefia juu ya mwanamke akizuga mkewe kuwahi kuswali?

Sidhani kama Mungu wa upendo ataweza kutoa adhabu za kidhalilishaji namna hiyo.
kma ww Muislamu utaamini la kama si muislamu utapinga
basi na ww usimkufuru Mungu wako kma unaogopa hizo.adhabu
 
Mshana weweee dah.. umewahukumu kabla hawajafika kwa Sir God!
 
Jitihada haiondoi kudra mkuu. Tunafanya sehemu zetu, panaposalia tunamuachia Mola!
 
Hiyo cona mbaya Sana hata ukiwa huhalewa yakutaka uwe makini sana.na hiyo njia usiku magari ya mchanga yanakimbia Sana na yanapiga horn hivyo na ku2sha taa Kali sana
 
Kila mtu anafanya starehe na kila mtu atakufa, hata wale wasiofanya starehe ya aina hiyo pia watakufa. Tusidhalilishane kwa kuweka picha zao, haikuwa lazima
 
Enyi walevi, pombe sio chai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…