Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Wewe wa hip hop sijui leo umeanzaje..?? 😂😂😂Ila kwa zuchu naona jau kubishana😂
Ngoja niishie hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wa hip hop sijui leo umeanzaje..?? 😂😂😂Ila kwa zuchu naona jau kubishana😂
Ngoja niishie hapa
Hii story basi tena, bro Jadda🙌Wewe wa hip hop sijui leo umeanzaje..?? 😂😂😂
Tukalale 💋💋🥰Hii story basi tena, bro Jadda🙌
Okota points mezani
Niki kama nikkiMkuu ingekua kuchuja sauti ni rahisi na inatoka vizuri kama ya zuchu basi wasanii wengi wangekua wazuri.
Gigy money anaimba, kwa nn hatoki na melodies nzuri kama zuchu?
Live performance inategemea umemuona ngapi. Ni ngumu kufanya vizuri show zote. Hata Messi sio kila mechi anacheza vizuri
Pamoja na kusema zuchu umeona hana sauti nzuri live lakini bado ana uwezo mkubwa wa ku-engage na crowd na moja ya kitu muhimu kwenye live performance
Ruby wanasema ana sauti nzuri sijui ana sauti natural, lakini akiwa live hana uwezo wa ku-engage na crowd mwisho anakua anajiimbia mwenyewe na show yote inaonekana mbaya
Mimi linapokuja suala la muziki kila aina ya genres of music huwa nasikiliza inategema tu niko kwenye mood gani wakati huo isipokuwa taarabUzi wa kina dada huu, wanaume tu some comments tuu
Anajua kuimba na hata kutungaHajui kuimba anapiga kelele tu
Kitu anachoweza ni kukata kiunoAnajua kuimba na hata kutunga
Zuchu na Nandy wote ni sawa tu, sijaona huo utofauti zaidi ya nandy kuimba sauti flani ambayo ni generic kwa wasanii wengi waliotokea THT, huku Zuchu akiimbia mahadhi ya Pwani zaidiZuchu anajua sana kubadilikana na kujua soko linataka nini. Ndio maana nyimbo za Zuchu zinaimbwa kuanzia na watu wazima hadi watoto
Ukimsikiliza Zuchu aliyeimba "nisamehe" na aliyeimba "raha" tofauti kabisa
Ukimsikiliza Zuchu aliyeimba "nyumba ndogo" na aliyeimba "wana" au "sukari" ni tofauti
Huyu demu anajua sana, msikilize Zuchu kwenye "jaro" au "love"
Ni dhambi kumfananisha Zuchu na Nandy
Mlishaambiwa sauti haina maana ndiomaana burna boy&davido wanawakimbiza wasanii wenu hapo nigeria na africa nzima mnaowaona wana saut za kikike[emoji3], issue ni talent ya kujua nn mashabiki wanataka kwa muda gani, na kujua kwenda na wakati, music ni biasharaDooh kwahiyo unabisha kwamba wasanii hawachujiwi sauti, wakati baadhi ya wasanii wenyewe pamoja na maproducer wanakiri hilo, msanii kuwa na sauti ni jambo moja na kuwa na mafanikio ni jambo lingine mkuu
Hadi nimesema hivyo basi ujue nishaangalia shows nyingi za Zuchu hadi ile ya US ambayo alikuta watu wachache, akaanza kuimba huku analia ndio kabisa akazidi kuharibu, kwa kifupi yule hamfikii Nandy wala Ruby
Mkuu we zunguruka tu umsifie kwenye mambo mengine ila kwenye sauti uongo, wasanii wengi ni wabana pua tu mpaka wanakera ila ni vile wanatumia ujanja ujanja, wanaimba content ambazo wabongo wengi na akili zetu fupi ndio tunazipenda hivyo hatuzingatii vocals
Huyu nandy ambaye tangu aanze kuimba hajawai hata kufikisha viewers milion20 ndie mumshindanishe na Zuchu ambaye kwa nyimbo moja tu ya sukar anazaid ya viewers milion 90[emoji3], yaani nyimbo moja tu ya zuchu sawa na nyimbo zote za nandy+billnas na alikiba kama kifungashio, tukubali ukwel ambao ni mchungu, tuwapende wasanii wetu wanaojituma na ndipo hata mafanikio ya muziki wetu tutapata, tuache chuki kwa wasanii wenye uwezo, tuache kuwapambanisha na hao wanaodunduliza mnaowajaza sifa za kitoto
Msanii wa kiks uno muhimuKitu anachoweza ni kukata kiuno
Mpaka sasa kati ya Abby na Zuchu nani anajulikana zaidi kwenye soko la nje?Ila aliyechukua mikoba ya Shaa na Vanessa bila kupepesa macho ni Abby Chams
Tofauti ya Abby na Zuchu ni moja, Aby anasimamiwa na Seven mosha, mtu anaelijua soko la nje,