Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Wewe unapewa gari inatembea kisha unaihalibu kisha unaomba upewe muda hiyo inaleta maana kweli?Hivi watu hawaoni ya kuwa January na uongozi mpya wa Wizara ya Nishati pamoja na TANESCO wapo katika nafasi walizo kuwanazo kwa muda mfupi uliopita! Katika kipindi kama hicho ni lazima tuwe wavumilivu na wapewe muda ili kuweka mambo sawa...
Acha wivu wewe, hebu tueleza baya alilolifanya na lenye ushahidi mpaka sasa. Wewe sema humpendi tu. Yaani unamu evaluate mtu kwa mwezi mmoja au miwili kisha unakuja na generalization eti hafai, serious? Hii si haki. Bila shaka ulitaka wale unaowashabikia ndio wateuliwe. Vumilia tu maumivu ndugu.Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco...
Acha tu. Wanachuki naye binafsi. Walitaka wateuliwe wale wanaowashabikia wao. Naanza kuamini kuwa kuna kundi limemwagwa humu kumchafua tu. Wanatetea maslahi ya kundi lao bila shaka.kuongoza tanzania ni shughuli kweli sasa ubaya wa huyu waziri ni upi mnataka alete mvua mabwawa yajae au
Wewe ni mmoja wa lile kundi lililomwagwa humu kumchafua tu na si vinginevyo. Ukiulizwa kafanya lipi baya utaumauma midomo tu.Wewebunapewa gari inatembea kisha unaihalibu kisha unaomba upewe muda hiyo inaleta maana kweli?
Kama hajui chochote si ajiuzuru tu kuliko kurudisha watu nyuma.
Kwa hiyo tanesco ni sehemu ya kupeleka watu wajifunze utendaji wakati watu wanaumia?
Matusi hayasaidii. Mnaomchafua waziri ni kundi maslahi tu basi.We kenge unaishi dunia ya wapi?
Wewe ni kundi maslahi tu. Sioni baya kwa waziri mpaka sasa.Ww unaishi Tanzania ya uhamishoni? Au Tanzania ya vijijini kusiko na nishati ya umeme? Kumtetea Makamba eti ipo siku atafanya vizuri ni sawa na mashabiki wa Arsenal kuamini ipo siku tutamfunga Man United
Sukuma Gang kazini.Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco...
Kijana mwenye akili atashabikia uwepo wa wagombea binafsi na siyo vyama tu. Ikibidi tuwe na democratic system ya Switzerland kabisa ipo inclusive kuliko zote duniani.Ki ujumla Kama wewe ni kijana hafu bado unashabikia ccm na sadiki kusema wewe ni crazy
Eti kila kona. Yaani kundi lenu lenye maslahi binafsi lililomwagwa humu ndio manung'uniko kila kona?Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco...
Hamna cha sukuma gang wala upumbavu huo tunataka umeme siyo maneno mengi toka kwa mfungwa mtarajiwa.Sukuma Gang kazini......
Watu wengi hawataki umeme wa mgao, walete umeme na nobody will give a f**k hata akiwa waziri miaka 20.Eti kila kona. Yaani kundi lenu lenye maslahi binafsi lililomwagwa humu ndio manung'uniko kila kona?
Tatizo sio makamba tatizo ni ccm tuiondoe kwanguvu ya ummaKila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco...
Umeme uta stabilize tu. Mpeni haki yake ya benefit of doubt mpaka baada ya muda fulani. Tumepitia kipindi cha ukame hadi maji ya kunywa yakawa shida, sembuse yakuzalisha umeme?Tatizo mmeanza kumlaumu kuanzia day one alipoteuliwa. Sasa hii inaonesha kuna chuki binafsi.Watu wengi hawataki umeme wa mgao, walete umeme na nobody will give a f**k hata akiwa waziri miaka 20.
Hamna cha sukuma gang wala upumbavu huo tunataka umeme siyo maneno mengi toka kwa mfungwa mtarajiwa.