Watanzania hawawezi kuandika

Watanzania hawawezi kuandika

Awawezi, ata, awatambui, wanazoabdika.

Hayo nimakosa baadhi Kwenye uandishi wako wa maada uliyoleta hapo juu.

Ukiwa unafanya ukosoaji jitahidi angalau ukidhi usahihi angalau wa 95% yakile unachokosoa.

Wewe pamoja na sisi watanzania unaotuzungumza wote hatujui kuandika vizuri.

Punguza kukurupuka.
Ukinitoa mimi, watanzania 59,999,999 ni vilaza
 
Soma hiyo mada

Key missing information kwenye hoja yake:

Amezungumzia sheria ya mtoto

Hakuna mahala kaongelew sheria inayomlinda mtoto. taratibu zilizopo kwa sasa kuzuia mimba za utotoni.

Namna ya kupambana na mimba za utotoni ama kuboresha mbinu za kuzuia au mbinu za kuwasaidia wahanga..

Halafu topić yake title ‘inahusu kufuta mimba za utoto ni’.

Sasa hiyo azma urafikiwa vipi bila ya kuonyesha chanzo cha tatizo (based on evidence) na suluhisho tunalipataje with literature review evidence

Yaani mtu anaweza jiandikia tu upumbavu kutoka kichwani.

Huyo jamaa ni mfano tu lakini 90% ya mada za mule kwenye !stories of change 2024! huo ndio muktadha wake.

Ni kwamba watu wengi awawezi kuandika, uwezi kujiandikia upuuzi kutoka kichwani ukadhani una hoja.
 
Kuna vitu vingi ambavyo binadamu wachache waliotutangulia walifanta kaujanja ka kufunga wenzao..
Vitu vingi na elimu nyingi huwa zinaanzia kwenye theories - maono, hisia basing na variables ambazo ubonngo wako unachaka na kukupa majibu subconciously bila hata wewe kujua...
Hivyo usishambulie watu ambao ni wazee wa theories - kuna kitu ambacho kinamfanya atoe hayo maoni..ni wajibu wako wewe kwenye kutengeneza hypothesis zako ili upime hayo maoni...
Kuhusu facts etc..huwezi ukaandika au ukaongea kwa kukusanya na kutamka taarifa ambazo watu walikusanya...huko unaangalia lkn pia lazima ubongo wako uende nje ya dirisha ndo itakuja elimu mpya.
Hivyo usijali sana jinsi watu wanavyoandika...hicho ni kitu cha chini sana..wewe chukua na elewa wazo la mtu - lichakate halafu toa ufafanuzi au pinga kwa hoja na logic..
Pia watu hawaongei au mazungumzo ya kawaida sio kama huo uandishi wa papers ambao wewe una-advocate...Duniani huku tukiweza kusimplify na kuandika au kupresent katika kiwango ambacho hata kijana wa darasa la saba akasoma na kuelewa..thats much better...Ndo maana kuna research nyingi sana lkn application yake haipo...uwezo wa kuiweka katika hali ya kawaida.....
Yaani hata hao wanaoandika research papers baadae husahau hata waliandika nini...
Katika wengi umefanikiwa kujibu hoja ya mleta mda. Huu ndio msingi wa hoja ya mleta mada.
 
View attachment 3007077

Siwalazimishi kuamini hiyo dissertation marking yangu amini usiamini nimewafyatulia maneno 15,000 kwa week tatu tu wazungu.

Iła naamini majungu tu kwa sababu ata lecture zenyewe nilikuwa siendi vinginevyo ile kazi ni 90%+.

Sasa unajua shughuli unayotakiwa kufanya hadi wazungu wakupe A dissertation ata hiyo ya 70%.

Mie sio mzaha mzaha mjue, hiyo attendance nikwamba lecture zenyewe nilikuwa siendi.
😁😁😁Mkuu bora ukaushe tu wewe pia ni mweupe tu kama baadhi yetu humu jukwaani.
 
Soma hiyo mada

Key missing information kwenye hoja yake:

Amezungumzia sheria ya mtoto

Hakuna mahala kaongelew sheria inayomlinda mtoto. taratibu zilizopo kwa sasa kuzuia mimba za utotoni.

Namna ya kupambana na mimba za utotoni ama kuboresha mbinu za kuzuia au mbinu za kuwasaidia wahanga..

Halafu topić yake title ‘inahusu kufuta mimba za utoto ni’.

Sasa hiyo azma urafikiwa vipi bila ya kuonyesha chanzo cha tatizo (based on evidence) na suluhisho tunalipataje with literature review evidence

Yaani mtu anaweza jiandikia tu upumbavu kutoka kichwani.

Huyo jamaa ni mfano tu lakini 90% ya mada za mule kwenye !stories of change 2024! huo ndio muktadha wake.

Ni kwamba watu wengi awawezi kuandika, uwezi kujiandikia upuuzi kutoka kichwani ukadhani una hoja.
Una hoja ya msingi ijapokuwa wadau wameamua kutoiongelea. Wengi wamejikita kukosoa usahihi wa 'kisarufi' hali yakuwa uliweka wazi kwamba ni suala la 'kihariri'.

Msingi wa hoja upo katika muundo, na ushahidi wa kitafiti ili kupata mtiririko wenye mantiki katika jumuiya ya wanataaluma.
 
SIO ata ni hata >> ongeza h mbele

SIO uwezi ni huwezi >> ongeza h mbele
SIO awatambui ni hawatambui >> ongezea h mbele
SIO awawezi ni hawawezi >> ongezea h mbele

Pole sana Mkuu na hapo tumechambua kidogo tukichambua sana hili Andiko lako hata HICHO kingereza utatoka na 0.5 out of 10
Safi, mleta mada anakosoa uandishi wa wengine wakati Kiswahili hakijui.
Ujuaji usiokidhi vigezo
 
Back
Top Bottom