Watanzania huu ni upole au ujinga? Kiongozi anachukuliwa meza kuu, mbele yenu mnapiga makofi!

We jinga nini? Siku hizi JF imejaza mijitu iliyostahili kuwa darasani ikifundishwa kusoma na kuandika, eti! Mamia walioko Magereza wanalindwa na askari wangapi?
Tupingane na huyu Nduli sasa amezidi na inaonekana akipata nafasi baada ya October mambo yatakuwa mabaya sana.
 
We jinga nini? Siku hizi JF imejaza mijitu iliyostahili kuwa darasani ikifundishwa kusoma na kuandika, eti! Mamia walioko Magereza wanalindwa na askari wangapi?
Eti Wanalindwa au wanalindwa na ukuta.
 
We jinga nini? Siku hizi JF imejaza mijitu iliyostahili kuwa darasani ikifundishwa kusoma na kuandika, eti! Mamia walioko Magereza wanalindwa na askari wangapi?
Amerukwa akiri huyo, hao ndio wanaotetea uvunjaji wa Sheria
 
Ningekuwa kwenye huo mkutano nadhani hao polisi waliothubutu kuingia wasingetoka nje au Mimi nisingetoka nadhani wangejifunza kitu kibaya sana siku hiyo.
 
Nduli huyo anazidi kuvimba mwisho atapasuka nyie fuatilieni tu kwa karibu. Na vibaraka wake hapo wengi wanatoka pande za chattle.
Polisi anatakiwa akamate mtu kwa mujibu wa sheria. Kama mtu anakuwa mbishi ndio useme kuna nduli?
 
Ka nchi kadogo Malawil. au kwa sababu hatujui ENGLISH ndiyo maana tupo hivi?
 
We jinga nini? Siku hizi JF imejaza mijitu iliyostahili kuwa darasani ikifundishwa kusoma na kuandika, eti! Mamia walioko Magereza wanalindwa na askari wangapi?
Umejisemea kilicho akilini mwako!!
 
Baadaye watoto wetu watakuja kushangaa ilikuaje baba zetu walikuwa mandezi kiasi hiki? Ni kama sisi tunavyowashangaa babu zetu enzi za ukoloni ilikuaje wanambeba mkoloni mgongoni huku wakichapwa fimbo?
 
RED BRIGADE walikuwa wapi au ni kweli kwamba kilikuwa ni kikundi cha kigaidi kama anavyodai Mh. Rwakatare wa Bukoba
Lwakatare naye ni wa kumzungumzia au umekosa watu was kuwazungumzia.
 
Huo ndo utamaduni mzuri wa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Kwani wewe ulikuwa wapi?
Pia muda bado upo nenda kapambane na wale waliomchukuwa.
 
Kaka lukoma
Naunga mkono mawazo yako. Inabidi tubadilike na ingekuwa bora kama yule polisi aliyemuinua Zitoi angetolewa jicho na sikio ingekuwa safi sana
 
Bado naitafakari hiyo nukuu ya Makamba.
 
Huo ndio mfano wa karibuni jinsi wabongo tulivyozubaa, kila jambo tunamuachia Mungu muumba wa mbingu na nchi.

Mtu anakuja kutia kidole kwenye jicho lako, unamuona kabisa, lakini unamuachia Mungu, nahisi watanzania ndio tutakuwa viumbe rahisi zaidi kutawaliwa hapa duniani.

Tunaishi kulingana na maandiko ya vitabu vitakatifu, kama mwisho wa dunia upo, natumai sote tutakutana kwa muumba, kasoro watawala tu, wao wataishia jehanamu.
 
Ha ha ha acha kulaumu wenzako, wewe ungefanya nini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…