EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ukitaka kulijua jitu la mrengo wa kidhalimu wa ccm angalia comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeandika nini?
Wewe mbona hukufanya chochote!
Uvunje Sheria wewe, waijitokeze wengine waende jela ama kuumizwa Kwa ajiri yako, huo ndio upumbavu unaozitesa nchi nyingi za Africa
Au Umeona wapi hata huko nchi za watu wenye akiri, akikosea kiongozi mwanasiasa wanajitokeza wananchi wa kusema watalipia makosa yake, kama sio Kampeni za kijinga za Mabeberu ili tuuwane!!
Kila mtu afuate Sheria, likitokea la kuwakera wananchi wataandama wenyewe na sio kiongozi mjinga wa kisiasa amevunja Sheria Eti niandamane, Bora Tanzania sasa huo ujinga unapotea
Kila mtu Apambane na Hali yake
Vipi hiyo nguvu ya umma mliyonayo ni kivuli tu kama Mawaziri vivuli wenu Mjengoni? Maana utawasikia' upinzani uko mioyo mwetu', 'iko siku umma utaamua' lakini mbwembwe tuWatu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande
Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla wa awamu ya 5. Tujiulize huu ni upole au ujinga? Hii ni busara au ujinga? Huu ni uvumilivu au ujinga? Je, babu zetu wangetumia misemo mkoloni angeondoka?
Hata mbuyu ulianza kama mchicha! Wamewazuia maandamano mmekubali, wamewazuia mikutano ya hadhara mkakubali, sasa watawazuia hata mikutano ya ndani pia mtakubali
Ni ubwege wa kiwango cha juu kabisa!Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande
Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla wa awamu ya 5. Tujiulize huu ni upole au ujinga? Hii ni busara au ujinga? Huu ni uvumilivu au ujinga? Je, babu zetu wangetumia misemo mkoloni angeondoka?
Hata mbuyu ulianza kama mchicha! Wamewazuia maandamano mmekubali, wamewazuia mikutano ya hadhara mkakubali, sasa watawazuia hata mikutano ya ndani pia mtakubali
umechelewa kutoa taarifa mkuuWatu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande