Watanzania huu ni upole au ujinga? Kiongozi anachukuliwa meza kuu, mbele yenu mnapiga makofi!

Ukitaka kulijua jitu la mrengo wa kidhalimu wa ccm angalia comment
 

Umeandika pumba tupu.
 
Vipi hiyo nguvu ya umma mliyonayo ni kivuli tu kama Mawaziri vivuli wenu Mjengoni? Maana utawasikia' upinzani uko mioyo mwetu', 'iko siku umma utaamua' lakini mbwembwe tu
 
Ni ubwege wa kiwango cha juu kabisa!
 
Ukiweza kuwatawala watanganyika,hata maiti unaweza kuzitawala!
 
Siku hizi ukilikoroga unalinywa mwenyewe! Maana wabunge na mishahara yao wanachangiwa ila wanaonuka kikwapa wanaozea jela nawake zao kuolewa na wakuu wachama.
 
CCM kama wanasoma huu uzi watakuwa wanagongeana mikono kwa furaha.
 
umechelewa kutoa taarifa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…