Kwenye hizo Sara zenu msisahau kumwambia huyo Mungu sometimes awe pro-active na sio re-active unless otherwise mtakuwa watu wa kuombeana uchawi kwa mgongo wa Mungu...Nami naanza kuona umuhimu wa sara ili Mungu aingilie kati. Huyu mama ni tatizo. Elimu ya hapa na pale hiyo!
HIzo ni sababu za watu wazembe maana ni hao wachina ambao walipewa SGR ya kuelekea Isaka.
Kwanini mnatuletea taarifa za waliofeli? Yaani miradi mamia tuliofanya na wachina hapa bongo hawajatupora ila waje kutupora kwenye bandari?? Kwanini mnakuwa pessimistic hivi? SGR, Bwawa la Nyerere, N.k tumekopa ila sijasikia mkiogopa tutaporwa miradi kwanini mnasema tutaporwa bandari ilihali hatukopi?Wewe unatengeneza laana juu ya kichwa chako kama unacho bado. Nenda shule kwanza ndipo ujue zana za utetezi kwa njia ya uchambuzi!. Lessons from Sri Lanka on China's 'debt-trap diplomacy' - ISS Africa
Hapana.Mradi wa Hambatota ni mkopo tofauti namradi wa Bagamoyo Special Economic Zone ambao ni uwekezaji wa pamoja kati ya China, Oman na Tanzania ambapo sisi tunatoa ardhi. Kwa vyovyote vile hata mradi ukiwa na hasara sisi hatuhusiki kwenye hiyo hasara. Mada kama hizi ndio zinasababisha wengine tuamini mnaopinga mradi huu hamna akili ya kuchanganua mambo makubwa kama haya ila mnalazimisha msikilizwe japo hamna nguvu ya hoja.
Na hili ndo lililopo! wazungu wanasema 'the bottom line'Halafu wachina walivyo, watatia fitna na kuua milango mingine yote ili ategemewe yeye tu katika hilo lango moja.
Hapo ndipo watu wataanza kufukua hizi topic na kuishia kuweweseka na kuanza kutafuta wachawi.
SGR ulikuwa uwe mradi ujengwe na mchina,na jk ndo alienda china kuweka agreement kama sikosei kwa kutumwa na Jpm,Mkuu, labda kama utakuwa hukunielewa kabisa. Tambua kuwa:
1. Ninatambua kuwa kulikuwa miradi wa bandari ya Bagamoyo ulioasisiwa na JK awamu #4.
2. Ninatambua pia kuwa mradi huo ulipigwa munda "unceremoniously" na JPM awamu #5.
3. Mimi na wewe hatujui contents za mradi ule.
4. Ninakusoma wewe vyema kwa nini mradi ulipigwa chini.
5. Sizikatai sababu ulizozitoa, ila tu ninakwenda mbele kukuunga mkono kwa mshangao kuwa, kwamba inawezekana je?
View attachment 1832409
Kwamba kwa mujibu wako JPM aliamua kuwakomoa wachina kwa kuuzima mradi wote kwa sababu tu hawakuwa wamevutiwa na mradi wa SGR?
Hebu zirejelee kuona kama sababu hizo siyo za kitoto kabisa?!
Mkuu, kuna mkanganyiko wa hali ya juu sana kuhusu jambo hili hapa JF.Kwanini mnatuletea taarifa za waliofeli? Yaani miradi mamia tuliofanya na wachina hapa bongo hawajatupora ila waje kutupora kwenye bandari?? Kwanini mnakuwa pessimistic hivi? SGR, Bwawa la Nyerere, N.k tumekopa ila sijasikia mkiogopa tutaporwa miradi kwanini mnasema tutaporwa bandari ilihali hatukopi?
Hii nchi inaendeshwa kwa propaganda kuliko facts
Yes, though feasibility studies said the port wouldn’t work. Yes, though other frequent lenders like India had refused. Yes, though Sri Lanka’s debt was ballooning rapidly under Mr. Rajapaksa.
Over years of construction and renegotiation with China Harbor Engineering Company, one of Beijing’s largest state-owned enterprises, the Hambantota Port Development Project distinguished itself mostly by failing, as predicted. With tens of thousands of ships passing by along one of the world’s busiest shipping lanes, the port drew only 34 ships in 2012.
And then the port became China’s.
The $1.3bn port was opened seven years ago using debt from Chinese state-controlled entities. But it has since struggled under heavy losses, making it impossible for Colombo to repay its debts.
In 2016, Sri Lankan ministers struck a deal to sell an 80 per cent stake in the port to the state-controlled China Merchants Port Holdings.
Sasa tukiacha mapungufu ya mkataba husika ambayo watu wa nje hawawezi kuyajua zaidi ya Wachina na Sri Lanka wenyewe, lengo la kubinafsisha hiyo bandario ilikuwa ni kuifanya iwe commercially viable kama inavyoonekana kutoka kwenye habari ya India Today hapo juu!In the pandemic year of 2020, the RO-RO transshipment hub has seen rapid growth in vehicle volumes while bulk cargo volumes have also grown by 44 per cent. Total RO-RO units handled during 2020 fell to 388,031 from 411,027 as coronavirus hit global shipping and Sri Lanka banned vehicle imports but transshipment have started to grow rapidly in recent months.
By December 2020, volumes had pickup up to 58,996 units which is a rise of 25.9 per cent compared to the corresponding period in 2019, driven almost entirely by international volumes as imports dwindled to 215 units in 2020 from 4,214 a year earlier. In January 2021 the port had handled 55,068 units, up 29 per cent from a year earlier. Vehicles coming from India, Korea, Japan, and China are discharged at Hambantota for transshipment to the Middle East, South Africa, and South America.
Kwamba eti Wachina watanyang’anya mali za taifa endapo mradi huo utapata hasara kama ilivyokuwa kwa mradi wa Bandari wa Sri Lanka. Ukweli ni kwamba mradi wa Bagamoyo sio sawa na mradi wa Sri Lanka au mradi wa ujenzi wa Reli ya Kenya. Tofauti na miradi hiyo miwili ya Kenya na Sri Lanka, mradi wa Bagamoyo unatekelezwa kwa njia ya uwekezaji (FDI) kwa asilimia 100, wakati ile miradi ya Kenya na Sri Lanka inatekelezwa kwa mikopo ambayo nchi inawajibu wa kuweka dhamana (sovereign guarantee)Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa SRI LANKA ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.
Tafuteni Articles tuanze kusoma
Kuna watu wanawaza rushwa tu. Akili wamepewa na Mungu hawataki kuzitumia kufanya kazi na kupata pesa, they don't think beyond today.Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa SRI LANKA ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.
Tafuteni Articles tuanze kusoma
Hakuna haja ya kuhofia eti mradi ukikamilika basi JPM atafunikwa ,hatuko hapa kulinda lagacy za watu⛹️👌,tuko kufanya maendeleo ya nchi yetu,jpm alifanya yake,mazuri na mengine yasiyo mazuri,tuache na wengine wafanye yao,hamna haja ya kuhofia eti watapata sifa kumzidi jpm,,hapa hatutafuti sifa za watu, na safari hii miradi ya maendeleo itafanywa bila kujali majungu ya watu wenye nyoyo za koroshoKuna watu wanawaza rushwa tu. Akili wamepewa na Mungu hawataki kuzitumia kufanya kazi na kupata pesa, they don't think beyond today.
Bandari ya Dar ipo haitumiwi to full capacity watu wanataka wajenge nyingine.
Tumetupa hela kule chattle kwa kujenga uwanja wa ndege ambao Ni Kama Gbadolite, people don't want to learn..
One thing is clear, if you don't learn from examples, you will be another example.
Wakenya wameuza Mombasa kwa Bei ya kutupa, Sri Lanka wanajuta. Tutake mifano ipi Tena ????
Issue sio akili, sio kweli wavimba macho wanaakili kiviiile kiasi cha kutuzidi...sio hao wavimba macho tu hata wazungu sio kweli kama wana akili kutuzidi waAfrica au wabongo..Kuna watu ambao mpaka muda huu wanapambana kumiliki vyoo wanajifanya kushindana na macho madogo.
Hakuna watu corrupt kama macho madogo.
Imetuchukua muda kupambana nao kwenye tenda za ujenzi wa barabara sidhani kama tuna personell competent kuchuana na hawa jamaa.
Kwanini mnatuletea taarifa za waliofeli? Yaani miradi mamia tuliofanya na wachina hapa bongo hawajatupora ila waje kutupora kwenye bandari?? Kwanini mnakuwa pessimistic hivi? SGR, Bwawa la Nyerere, N.k tumekopa ila sijasikia mkiogopa tutaporwa miradi kwanini mnasema tutaporwa bandari ilihali hatukopi?
Hii nchi inaendeshwa kwa propaganda kuliko facts
Huo uwekezaji ni kwa maslahi ya nani ikiwa mchina ataendesha hiyo bandari kupitisha mizigo yake bila mamlaka za nchi kuona kinachoendelea, unajua athari za kiusalama na kimaslahi kwa nchi kuachia lango lake la bandari liendeshwe na nchi nyingine bila yenyewe kujua chochote kinachoendelea......hovyo kabisa!Kwamba eti Wachina watanyang’anya mali za taifa endapo mradi huo utapata hasara kama ilivyokuwa kwa mradi wa Bandari wa Sri Lanka. Ukweli ni kwamba mradi wa Bagamoyo sio sawa na mradi wa Sri Lanka au mradi wa ujenzi wa Reli ya Kenya. Tofauti na miradi hiyo miwili ya Kenya na Sri Lanka, mradi wa Bagamoyo unatekelezwa kwa njia ya uwekezaji (FDI) kwa asilimia 100, wakati ile miradi ya Kenya na Sri Lanka inatekelezwa kwa mikopo ambayo nchi inawajibu wa kuweka dhamana (sovereign guarantee)
Kwa hiyo mtuache na mradi wetu.
Acheni ushamba nyie mapromwendazake hujui chochote.Huo uwekezaji ni kwa maslahi ya nani ikiwa mchina ataendesha hiyo bandari kupitisha mizigo yake bila mamlaka za nchi kuona kinachoendelea, unajua athari za kiusalama na kimaslahi kwa nchi kuachia lango lake la bandari liendeshwe na nchi nyingine bila yenyewe kujua chochote kinachoendelea......hovyo kabisa!
Weka hapa unachokijua, kenge wew...Acheni ushamba nyie mapromwendazake hujui chochote.
Marehemu aliwaharibu akili nyie
Mkuu, Elungata,SGR ulikuwa uwe mradi ujengwe na mchina,na jk ndo alienda china kuweka agreement kama sikosei kwa kutumwa na Jpm,
Wachina wakaanzisha harakati za ujenzi,,kisha jpm akaona waturuki ndo wajenge,,akawatoa wachina..
Baadae kama sikosei wachina walifuatwa tena ili watoe funding,,wakagoma
The issue is ,Mkuu, Elungata,
Yanayotokea sasa ni ushahidi tosha kuhusu viongozi hao wawili: Kikwete na Magufuli, kulikuwa na jambo kati yao, na matokeo yake ndiyo haya.
Kikwete ndie mwanzilishi wa miradi yote miwili, SGR na hiyo bandari ya Bagamoyo (hii iliizima ile ya Mwambani Tanga, na sababu zake hazijulikani hadi leo).
Katika mradi wa SGR, Kikwete kuondoka madarakani, ilikuwa kazi ianze ya ujenzi wa reli hiyo. Tulianza kusikia habari za Magufuli kulala na mafaili mvunguni mwake akiyasoma usiku kucha, na kuibuka na sababu kwamba mikataba yake ilikuwa haifai, kwa hiyo ndipo waturuki wakachukuwa sehemu ya ujenzi wa mradi huo.
Hili liko wazi wala halina mkanganyiko wowote. Tusichojuwa ni wachina walikuwa wamepanga kutudunda vipi juu ya mradi huo.
Kwa hiyo hatujui kama madai ya Magufuli yalikuwa kweli au hapana; lakini pia hatujui kama Kikwete alikuwa ametuandalia kuliwa, hilo nalo hatulijui.
Hali iko hivyo hivyo, juu ya huu mradi wa bandari ya Bagamoyo. Madai ya Magufuli angalau yapo yametamkwa, hata kama hatujui ukweli wake hasa upoje.
Kwa upande wa Kikwete, inaonekana dhahiri sasa, kuondoka kwa Magufuli kumewapa nguvu washiriki wote katika mradi huo kuendeleza walipokuwa wameyaachia yaendelezwe kwenye awamu ya Magufuli, lakini yakazimwa.
Sasa hivi wanatumia nguvu nyingi sana kuusukuma huu mradi ili wanufaike na walichokuwa wamekitegeshea. Hili nalo lipo wazi.
Ninachomwomba Mama Samia, asipuuze alichokiona Magufuli, kama kipo (pamoja na uongo wake). Na asifumbie macho na akili hili kundi la wapigaji lililopo chini ya Kikwete. Namwomba sana atazame maslahi ya nchi yetu bila ya kujali makundi haya mawili ya viongozi hao.
Mkataba wa bandari ya Bagamoyo ni lazima uwe ni kwa maslahi ya nchi yetu, na si kwa maslahi ya kundi la watu.