Mmewachoka wewe na nani,jisemee wewe mwenyewe.Mimi nampenda Magufuli sitamchoka.Ni ujumbe kuwa Makonda na Magufuli aliyemkumbatia muda mwingi tumewachoka.
Ndio maana Magufuli alihakikisha anasimama mwenyewe kwenye kura za maoni.
Angeacha kampenyo tu asingetoboa
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Hongereni sana wajumbe wa ccm Kigamboni, jana mmetupa raha isiyo na kifani. congratulations wajumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hata asipotishwa huku mbele furaha ya jana haina kifani ,wajumbe hatukumpa kura za kutosha.Tunajua anaweza kupitishwa na kikao vinavyofuata haijalishi Kerry yaani nipo hapa naimba."Tumeuona mkono wako Baba ........."Haaaaa
mangikuleMashitaka yanamsubiri huyu mwizi na muuaji mkubwa. Ushahidi upo ndiye mtekaji mkuu. Roma yuko US ametestify. Makonda aliwablackmail waarabu na wahindi kwa kuwasingizia madawa ya kulevya akawanyang'a mali na fedha ama sivyo atoe ushahidi wa utajiri alionao. Makonda ndiye aliyemteka na kumuua Ben Saanane akishirikiana na Ally Hapi wa Iringa. Makonda alimteka Roma alipoliliwa na wasanii akamuachia. Makonda amehusika kuratibu jaribio la kumuua Tundu Lissu. Hata kama Magufuli unataka kujitenga na huyu dubu kabla Tundu hajaja na wanasheria wake umeingia mzima mzima kwa kauli zako.
Makonda na babaye ni wapangaji wa The hague soonest!
I agree with you kama angeruhusu membe achukue form kitu ambacho kingetokea wasingeaminiNi ujumbe kuwa Makonda na Magufuli aliyemkumbatia muda mwingi tumewachoka.
Ndio maana Magufuli alihakikisha anasimama mwenyewe kwenye kura za maoni.
Angeacha kampenyo tu asingetoboa
Yaani humpendi tu au siyo?!!!.Ukisikia roho mbaya basi ndo hii.Hata sijui niseme vipi, ila baaas Jah kasikia Maombi yangu. Km atabebwa shauri yake yey na uncle, ila wajumbe wameonesha uhalisia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GENTAMYCINEMystery binafsi nimefurahia kwakuwa sasa najua hata Marehemu wote waliondoka kwa ' Kulazimishwa ' hapa Duniani huko waliko wanashukuru.
Mbuzi mbona Kigambon hawajafika?