Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Ni ujumbe kuwa Makonda na Magufuli aliyemkumbatia muda mwingi tumewachoka.
Ndio maana Magufuli alihakikisha anasimama mwenyewe kwenye kura za maoni.
Angeacha kampenyo tu asingetoboa
Mmewachoka wewe na nani,jisemee wewe mwenyewe.Mimi nampenda Magufuli sitamchoka.
 
Washangaliaji ni wewe na team yako ya peoples kwenye mitandao, na hizi chaguzi zinazo endelea haziwahusu.
 
Yaani hata asipotishwa huku mbele furaha ya jana haina kifani ,wajumbe hatukumpa kura za kutosha.Tunajua anaweza kupitishwa na kikao vinavyofuata haijalishi Kerry yaani nipo hapa naimba."Tumeuona mkono wako Baba ........."Haaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashitaka yanamsubiri huyu mwizi na muuaji mkubwa. Ushahidi upo ndiye mtekaji mkuu. Roma yuko US ametestify. Makonda aliwablackmail waarabu na wahindi kwa kuwasingizia madawa ya kulevya akawanyang'a mali na fedha ama sivyo atoe ushahidi wa utajiri alionao.

Makonda ndiye aliyemteka na kumuua Ben Saanane akishirikiana na Ally Hapi wa Iringa. Makonda alimteka Roma alipoliliwa na wasanii akamuachia. Makonda amehusika kuratibu jaribio la kumuua Tundu Lissu. Hata kama Magufuli unataka kujitenga na huyu dubu kabla Tundu hajaja na wanasheria wake umeingia mzima mzima kwa kauli zako.

Makonda na babaye ni wapangaji wa The hague soonest!
 
Mashitaka yanamsubiri huyu mwizi na muuaji mkubwa. Ushahidi upo ndiye mtekaji mkuu. Roma yuko US ametestify. Makonda aliwablackmail waarabu na wahindi kwa kuwasingizia madawa ya kulevya akawanyang'a mali na fedha ama sivyo atoe ushahidi wa utajiri alionao. Makonda ndiye aliyemteka na kumuua Ben Saanane akishirikiana na Ally Hapi wa Iringa. Makonda alimteka Roma alipoliliwa na wasanii akamuachia. Makonda amehusika kuratibu jaribio la kumuua Tundu Lissu. Hata kama Magufuli unataka kujitenga na huyu dubu kabla Tundu hajaja na wanasheria wake umeingia mzima mzima kwa kauli zako.
Makonda na babaye ni wapangaji wa The hague soonest!
mangikule
Duh.......

Mkuu umetoa habari ambazo ni very sensitive!

Hata hivyo hao waliopanga unyama huo ni lazima watambue kuwa mwisho wa ubaya aibu!
 
Ni ujumbe kuwa Makonda na Magufuli aliyemkumbatia muda mwingi tumewachoka.
Ndio maana Magufuli alihakikisha anasimama mwenyewe kwenye kura za maoni.
Angeacha kampenyo tu asingetoboa
I agree with you kama angeruhusu membe achukue form kitu ambacho kingetokea wasingeamini

na akitaka amini aruhusu tume huru ya uchaguzi
 
Hata sijui niseme vipi, ila baaas Jah kasikia Maombi yangu. Km atabebwa shauri yake yey na uncle, ila wajumbe wameonesha uhalisia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani humpendi tu au siyo?!!!.Ukisikia roho mbaya basi ndo hii.
 
Mystery binafsi nimefurahia kwakuwa sasa najua hata Marehemu wote waliondoka kwa ' Kulazimishwa ' hapa Duniani huko waliko wanashukuru.
 
siku ya kufa ni siku ya kufa tu hata kama ni kiongozi wa juu kiasi gani siku ikifika hamna namna
 
" GENTAMYCINE Sisi wana CCM hapa Kigamboni tulikwazika sana hasa na Kitendo cha Mtu ambaye Kwanza hakai nasi huku Kigamboni kuja Kugombea na tena Kilichotuuma zaidi ni Yeye kuja huku wakati akijua kabisa kuwa Kipenzi chetu wana CCM Kigamboni Daktari Faustine Ndugulile yupo, ametufanyia makubwa na hakuna Kosa lolote alilotufanyia. Jana tumetoa Meseji kwa walio huko Juu, " wamesema wana CCM Kigamboni.

" GENTAMYCINE kuna Tetesi tumeanza Kuzisikia tu kuanzia jana Usiku baada ya Matokeo kuwa kuna Mtu atalazimishwa ndiyo agombee kwakuwa tu anapendwa na sijui ili Kumlinda asije akaharibu zaidi. Sasa tunakutuma ukawaambie kuwa wakimpitisha tu huyo Mtu Wao wana CCM Kigamboni tutampigia Kura Mgombea wa Upinzani au Kumtaka Dokta Ndugulile ahamie huko tumpigie, " wamesema wana CCM Kigamboni.

" GENTAMYCINE hivi Mtu amepitwa kwa Kura 68 leo hii utalazimishaje ndiyo aje kuwa Mgombea Wetu? Kwahiyo wanataka kusema kuwa hao wana CCM 68 hawana Akili au hawaujui Umuhimu wa Mbunge wetu Kipenzi na aliyemaliza muda wake Dokta Faustine Ndugulile? Tunamuomba kwa Heshima na Taadhima kabisa huyo mwenye Chuki zake na Dokta Ndugulile ayamalize nae ili CCM Kigamboni isonge na akilazimisha tu yale yaliyotokea Kawe 2015 yatahamia huku, " wamesema wana CCM Kigamboni.

" GENTAMYCINE mwisho kabisa tunakutuma ukawaambie hao wana CCM wako Makao Makuu huko Dodoma ukienda kwamba tuna hadi Namba za Simu kama Ushahidi za Watu waliokuwa wakitumiwa Kugawa Pesa kwa Wajumbe wakiutaka watualike katika Kikao chao tuwape. Dokta Ndugulile anatutosha sana Kigamboni na ni Mzawa halisia sasa walazimishe wauone Moto wetu wana CCM Kigamboni, " wamesema wana CCM Kigamboni.

Baada ya GENTAMYCINE kutoka zangu Kigamboni sasa naelekea Jimboni Kawe ili Kamati ile ile ya Roho Mbaya Leo pia imlime Mla Kondoo nae.
 
Kama mtu kapigwa kihalali kabisa (kura zilihesabiwa kwa uwazi kabisa) na hakuna ushahidi wa rushwa kutolewa, hao waliopigwa ndio wamezama mazima na wasubiri teuzi zile za viti maalumu vya kiume
 
The surest way to corrupt the mind of a youth, says Friedrich Nietzsche, is to instruct him to hold in high esteem those who think alike than those who think differently.

Paul Makonda is a kind of a person who think differently from the general public na kwa sababu Jamii imefundishwa kuiheshimu watu wenye maoni yanayo fanana na maoni yao kuliko watu wenye maoni tofauti basi automatically Makonda anajikuta anachukiwa na watu.

However, says Niccolo Machiavelli, it is better to be feared than to be loved.

Paul Makonda dont take it personal . The all hatred have nothing to do with you.

# Hating is a very easy way to do to a person that u cannot defeat.

The spirit of hatred dwells on weak people and cowards whichever comes first
 
Mbuzi mbona Kigambon hawajafika?

Nawapeleka Leo Mkuu tena wako Mbuzi 25 kwa Watu wangu Watano. Mkuu Yule Jamaa aliyevalia Kofia jana pale wakati Matokeo yanasomwa katika Jimbo la Kigamboni Mnene ( Kibonge ) hivi ni nani? Namtamani ile mbaya kwani nimepata taarifa zake kuwa kama ilivyo katika Mpira wa Miguu ' Play Maker ' wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ( Mabingwa ) ni Clatous Chota Chama na nimeambiwa katika Timu ya huyo ' aliyeangukia Pua ' jana basi huyo ' Kibonge ' ninayemzungumzia hapa ndiyo ' Play Maker ' wake na kuna ' Upuuzi ' fulani fulani pia alikuwa anataka Kuulazimisha utokee jana. Awe Makini na ajue ya kwamba alipo tupo.
 
Back
Top Bottom