Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

Wakati Mwalimu alikaa hadi foleni na Marais wengine wanakalia viti vya kanisani kwa adabu, kuna Paka special linasafirisha na kukalia kiti maalum👇🐒🐒🐒
AAq4U0.jpeg
ADPZA.png
YAMVHzi.jpeg
ApfOS.png
 
Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu Ni sawa na wanavyowaza, Kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, Kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais Ni Sawa na uzito wa Mwenyekiti wa chama kilicho Kama Saccos

Lazima Tufahamu kuwa Rais wa nchi Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa Serikali, Ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Akishakupigiwa kura na kuapishwa hawi Kama yule uliyekuwa unamfahamu, hajiamulii mambo Kama alivyookuwa anajiamulia kiusalama, Haendi kila sehemu aliyokuwa anaenda awali, hapiti kila eneo alikokuwa anapita awali, Hali chakula kila mgahawa alikokuwa anakula awali, hasalimiani na kila mtu Wala hasogeleani na kila mtu hata Kama alipanga msitari kumpigia kura katika uchaguzi, Wala hapandi kila gari na kupita popote pale na njia yoyote ile

Lazima Tufahamu kuwa kila kitu kinawekwa katika utaratibu maalumu, utaratibu wa kijasusi,utaratibu wa kiusalama na kiulinzi, lazima Tufahamu kuwa usalama na ulinzi wa Rais wa nchi Ndio Jambo la muhimu kuliko kitu kingine chochote kile hapa nchini, amani na utulivu wa nchi hauwezi ukatenganishwa na usalama wa Rais na familia yake,

Rais hawezi akayumba kiafya halafu utegemee nchi isiyumbe, lazima iyumbe, itetemeke, ipepesuke, mambo lazima yatetereke na kusua sua, lazima idara zisimame kazi zake, lazima watu watege masikio juu ya Hali ya Rais, lazima mawazo ya watu yawe mahali pamoja tu, lazima kila muda iulizwe Hali ya Rais ikoje, lazima ufanisi wa kazi upungue makazini kwote na kila idara, mpaka Rais atakapo toka hadharani kulipungia mkono na kulisalimu Taifa ama kulihutubia Taifa letu ndipo mioyo ya watu itapona na kupata amani na Kuendelea na kazi kwa moyo wote

Hivyo tusiwafundishe Wala kuwaingilia katika kazi watu waliopewa dhamani juu ya ulinzi na usalama wa Rais wetu, Tusiwachanganye Wala tusiwaone Ni wajinga, Mwenyezi Mungu alitupatia maarifa wanadamu hivyo lazima maarifa yote yatumike katika kuhakikisha Rais anakuwa salama muda wote, hiyo ni kazi yao ,Ni wajibu wao wakufa na kupona kuhakikisha Rais Ni salama.Tusilete uanaharakati kwa kila Jambo,

Macho yetu lazima tujuwe Ni vipofu linapokuja suala la ulinzi na usalama wa Rais, sisi tunaona kwa macho haya ya nyama pekee, macho ya kukosoa, ambayo yanafumba hata upepo ukipita, macho yetu siyo Kama ya wale tuliyowapa dhamani ya ulinzi wa Rais wetu mpendwa, wao wanaona mbali, wanao hata tusivyoweza kuona kwa macho ya kawaida, wanaona hata kabla ya kukaa , wanaona hata mioyo yetu, wanaona hata ishara zetu, wanaona hata mifuko yetu, wanaona hata katikati yetu. Wakati sisi hata tukizibwa na mtu mrefu mbele yetu hatuwezi kusimulia kilichokuwa mbele yetu hatua chache

Tuache ujuaji na kukosoa kila kitu, tuache uanaharakati kwa kila kitu, tuache utalaamu kwa vitu ambavyo hata darasni hatujawahi kukaa kujifunza, tuache umbilikimo wa kifikira na kimawazo, tuache werevu wakati ni vipofu wa masuala ya usalama, Tuache idara zetu za usalama zifanye kazi zake, zitekeleze wajibu wake

Idara yetu ya ulinzi na usalama wa Rais Rai yangu kwenu Ni kuwa endeleeni na majukumu yenu Wala msiyumbishwe Wala kuondolewa katika mstari wenu ,Wala kufundishwa kazi , Wala kuelekezwa na mtu wa nje kipofu wa masuala ya ulinzi na usalama, tunachohitaji Ni kuona Rais wetu ni salama kwa gharama zozote zile, tunampenda Rais wetu na tumewakabidhini ulinzi na usalama wake muutekeleze ipasavyo na kwa weledi mkubwa kwa msaada wa Mwenyezi Mungu mtoa njia maaarifa

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Kama huyu angekuwa Rais wa kwanza kwenda Kasisani ingekuwa sahihi. Lakini tuna Marais zaidi ya 10 Tanzania na Zanzibar wamekwenda makanisani na misikitini na hatujawahi kuona viti vya Ikulu kule.
Hivi ingekuwa Msikitini angekwenda na zulia dogo jipya?
 
Mambo ya kiusalama yanabadilika kulingana na wakati
 
Haya ni matumizi mabaya ya muda, umeandika upuuuuuzi weeeee, hakuna hata pointi ya maana na huyo Rais wako. Watanzania tunateseka kwa hali ngumu ya maisha, maji ya bomba hakuna, huduma za afya mbovu, barabara mbovu, chakula bei juu, Polisi kumejaa rushwa, Mahakamani kunanuka rushwa, mahospitalini kumeshamiri rushwa, ardhi ndo usiseme ni uozo wa rushwa halafu unakuja na ngonjera zako hapa za uchawa, mbona huyo Rais wako Londan alipandishwa daladala na akawahi siti ya dirishani.
Kwani hizo Rushwa huwa unashikiwa mtutu kutoa? Kwanini usitoa taarifa?
 
Bavichaa wanapiga makelele bila kujuwa kuwa masuala ya usalama na ulinzi wa Rais Ni muhimu kuliko kitu kingine chochote, Ndio maana nilikuwa natoa Elimu hapa
Ni nini sababu ya povu lote hili bwashee, au kuna mtu kampiga kofi kama alivyopigwa yule mwingine miaka ile?
 
Yani uzi mzima umeandika kutujuza kwamba Rais ni Amir jeshi mkuu? Kwamba ndiye mkuu wa nchi? Dah Tanzania bhana
Nimeandika juu ya ulinzi na usalama wa Rais kuwa Ni wa muhimu kuliko kitu kingine chochote na mtu mwingine yoyote
 
Nchi haiwezi yumba kwa ajili yake , shenzi
Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu Ni sawa na wanavyowaza, Kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, Kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais Ni Sawa na uzito wa Mwenyekiti wa chama kilicho Kama Saccos

Lazima Tufahamu kuwa Rais wa nchi Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa Serikali, Ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Akishakupigiwa kura na kuapishwa hawi Kama yule uliyekuwa unamfahamu, hajiamulii mambo Kama alivyookuwa anajiamulia kiusalama, Haendi kila sehemu aliyokuwa anaenda awali, hapiti kila eneo alikokuwa anapita awali, Hali chakula kila mgahawa alikokuwa anakula awali, hasalimiani na kila mtu Wala hasogeleani na kila mtu hata Kama alipanga msitari kumpigia kura katika uchaguzi, Wala hapandi kila gari na kupita popote pale na njia yoyote ile

Lazima Tufahamu kuwa kila kitu kinawekwa katika utaratibu maalumu, utaratibu wa kijasusi,utaratibu wa kiusalama na kiulinzi, lazima Tufahamu kuwa usalama na ulinzi wa Rais wa nchi Ndio Jambo la muhimu kuliko kitu kingine chochote kile hapa nchini, amani na utulivu wa nchi hauwezi ukatenganishwa na usalama wa Rais na familia yake,

Rais hawezi akayumba kiafya halafu utegemee nchi isiyumbe, lazima iyumbe, itetemeke, ipepesuke, mambo lazima yatetereke na kusua sua, lazima idara zisimame kazi zake, lazima watu watege masikio juu ya Hali ya Rais, lazima mawazo ya watu yawe mahali pamoja tu, lazima kila muda iulizwe Hali ya Rais ikoje, lazima ufanisi wa kazi upungue makazini kwote na kila idara, mpaka Rais atakapo toka hadharani kulipungia mkono na kulisalimu Taifa ama kulihutubia Taifa letu ndipo mioyo ya watu itapona na kupata amani na Kuendelea na kazi kwa moyo wote

Hivyo tusiwafundishe Wala kuwaingilia katika kazi watu waliopewa dhamani juu ya ulinzi na usalama wa Rais wetu, Tusiwachanganye Wala tusiwaone Ni wajinga, Mwenyezi Mungu alitupatia maarifa wanadamu hivyo lazima maarifa yote yatumike katika kuhakikisha Rais anakuwa salama muda wote, hiyo ni kazi yao ,Ni wajibu wao wakufa na kupona kuhakikisha Rais Ni salama.Tusilete uanaharakati kwa kila Jambo,

Macho yetu lazima tujuwe Ni vipofu linapokuja suala la ulinzi na usalama wa Rais, sisi tunaona kwa macho haya ya nyama pekee, macho ya kukosoa, ambayo yanafumba hata upepo ukipita, macho yetu siyo Kama ya wale tuliyowapa dhamani ya ulinzi wa Rais wetu mpendwa, wao wanaona mbali, wanao hata tusivyoweza kuona kwa macho ya kawaida, wanaona hata kabla ya kukaa , wanaona hata mioyo yetu, wanaona hata ishara zetu, wanaona hata mifuko yetu, wanaona hata katikati yetu. Wakati sisi hata tukizibwa na mtu mrefu mbele yetu hatuwezi kusimulia kilichokuwa mbele yetu hatua chache

Tuache ujuaji na kukosoa kila kitu, tuache uanaharakati kwa kila kitu, tuache utalaamu kwa vitu ambavyo hata darasni hatujawahi kukaa kujifunza, tuache umbilikimo wa kifikira na kimawazo, tuache werevu wakati ni vipofu wa masuala ya usalama, Tuache idara zetu za usalama zifanye kazi zake, zitekeleze wajibu wake

Idara yetu ya ulinzi na usalama wa Rais Rai yangu kwenu Ni kuwa endeleeni na majukumu yenu Wala msiyumbishwe Wala kuondolewa katika mstari wenu ,Wala kufundishwa kazi , Wala kuelekezwa na mtu wa nje kipofu wa masuala ya ulinzi na usalama, tunachohitaji Ni kuona Rais wetu ni salama kwa gharama zozote zile, tunampenda Rais wetu na tumewakabidhini ulinzi na usalama wake muutekeleze ipasavyo na kwa weledi mkubwa kwa msaada wa Mwenyezi Mungu mtoa njia maaarifa

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
 
Nchi haiwezi yumba kwa ajili yake , shenzi
Ukikua utaelewa umuhimu wa Rais katika nchi, Ndio maana hata kauli yake tu moja inaweza kufukuza au kuvutia wawekezaji, inaweza vutia watalii au kuwafukuza watalii, inaweza Leta amani au kuchochea chuki katika Taifa, Rais asipoonekana hadharani na kujulikana aliko hata kabla ya wiki kuisha lazima Taharuku na hofu itokee na kutanda nchini,
 
Wakati Mwalimu alikaa hadi foleni na Marais wengine wanakalia viti vya kanisani kwa adabu, kuna Paka special linasafirisha na kukalia kiti maalum👇🐒🐒🐒
View attachment 2387610View attachment 2387611View attachment 2387612View attachment 2387613
Askofu/Padri aliyeruhusu hivi viti kuingizwa Kanisani, alifanya makosa makubwa sana.

Ni aibu kwa Makamu wa Rais naye kwa makusudi kabisa, akiwa ni Mkatoliki! halafu anakubali kulitia najisi Kanisa la Mungu kupitia hicho kiti. Nini maana ya unyenyekevu katika kanisa la Mungu!

I wish Askofu wa hilo eneo angekuwa ni Ngararekumtwa wa Iringa! JK anamkumbuka vizuri.
 
Kwamba raisi ana uspesho kiasi hicho? Linapokuja swala la Lissu kumiminiwa moto analaumiwa kuwa raisi alikuwa katili. Hii nchi ina safari ndefu sana kwa aina ya unafiki uliowajaa raia wake.
 
Haya ni matumizi mabaya ya muda, umeandika upuuuuuzi weeeee, hakuna hata pointi ya maana na huyo Rais wako. Watanzania tunateseka kwa hali ngumu ya maisha, maji ya bomba hakuna, huduma za afya mbovu, barabara mbovu, chakula bei juu, Polisi kumejaa rushwa, Mahakamani kunanuka rushwa, mahospitalini kumeshamiri rushwa, ardhi ndo usiseme ni uozo wa rushwa halafu unakuja na ngonjera zako hapa za uchawa, mbona huyo Rais wako Londan alipandishwa daladala na akawahi siti ya dirishani.
Mueleze huyo ndezi!
 
Mueleze huyo chawa mnafiki!
Kwani wewe huoni kazi kubwa inayofanywa na mh Rais wetu mpendwa katika kuijenga nchi hii, huoni huduma za kijamii zinavyozidi kuboreshwa na kusogezwa karibu ya mwananchi, Huoni juhudi za mh Rais kuvutia wawekezaji hapa nchini Jambo linaloongeza hata fursa za ajira kwetu vijana,
 
Back
Top Bottom